Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,496
- 19,332
Ungeandika kwa kiswahili kuliko kujidai kutumia lugha inayokugonga. Nimejaribu kukufundisha ili siku nyingine usifanye makosa hayo tena kwa kuwa yanakuvunjia heshima. Laiti ungejua kuwa mimi ni Kichuguu, siyo padri.Wewe padiri fisadi najua unabembeleza ulaji tu kwa kupitia mzee asiyejielewa