Cardinal Pengo: It is better to die of hunger than accept homosexuality

Mimi naomba mtu yeyote yule aliesoma, kusikia au kuona mahali popote ambapo nchi yeyote ile ilitoa sharti la kukubali ushoga (iwe kwa Tanzania au nchi nyingine yeyote) ili ipewe msaada.
 
Ukweli ni kuwa ushoga upo kwenye jamii nyingi. Hata Vatican na Ulaya na Uarabuni hakuna jamii ambayo haina Homosexuals . Sasa kosa ni kurasmisha hiyo dhambi. Hivi bangi imetamalaki INA maana kuna sehemu inaruhusiwa rasmi Tanzania na Africa popote. Ni dhambi inayofanyika faragha na kificho sehemu zote, sasa tuianza kuifanya kuwa mada muhimu kuijadili ni kwa faida ya nani? Just keep silent on it halafu uone atakekuambia rasmisha. Au ni njia ya kuondoa Mawazo ya Wa Tanzania kwenye mada zinazoathiri mifuko iliyo mitupu?. Hivi ukimwi si umeathiri hadi viongozi wetu Wa kiroho nani kiongozi ameshatamka kulaani Tabia ya uzinifu kwa wahusika?. Dhambi zote zina uzito sawa tusivalie njuga ufirauni tu hata ufisadi na mengine yanatutafuna tena Africa ambako dini bado dini INA nguvu ndiko ukimwi unaongoza., ni ishara ya MUNGU kutuumbua kuishi kiunafiki , tunaishi kinyume na matamshi hadharani. Lakini wazungu wanajikalia kimya na kupractice matamshi yao na ukimwi haujawatfuna kama sisi. MUNGU hadhihakiwi. MTU asiyesali akaishi akitenda na kuishi zile Amri kumi alizopewa Musa akiomba MUNGU atapokea na kumpa mahitaji yake kuliko unashinda na kulala nyumba ya ibada kisha faragha ni mwizi ,mzinzi , mwongo nk. Wewe Moto ni halali yako na bahati mbaya Africa tumo hill kundi LA wasioshi matamshi ya hadharani
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli

Back
Top Bottom