Cardinal PENGO ANENA

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Pengo anasema ni usaliti kulinda utukufu wa watu wachache huku ukiangamiza wengi,amesema hata kama ni yeye asionewe haibu,alikuwa anazungumzia maswala ya ufisadi na madawa ya kulevya ktk ibada ya shukran kanisa la kristu mfalme tabata,source tbc leo
 
Tunamsubırı mıda ya saa 9 alasırı maeneo ya mwananyamala leo pia atakuwepo hapa kutoa sakramentı ya kipaimara.
 
yes , this is a piece of moral obligation and responsibility

i conquer
 
Ni sawa sawa kwa Kadinali Pengo kuzungumzia madawa ya kulevya kwa sababu kizazi cha watanzania kinaangamia. Lakini mafisadi nao baadhi yao ni waumini ..... ni miogoni mwa kondoo unaowachunga hebu wakazie buti huko huko kanisani
 
I hope the same standards apply to the church he leads as well. As one of church princes, Kanisa la Tanzania lisilee takataka ambazo zinalitingisha kanisa karibu ulimwengu mzima. Na ili maneno yake yawe na ukali wa msumeno, haki anayoiongelea ifanyike na serikali, kanisa liwe la kwanza kuitekeleza miongoni wa watumishi na waamini wake.
 
pengo amenena,serikali isione aibu kwa ajil ya maslahi ya wachache!,wakati wengi wanaangamia!
 
Back
Top Bottom