Cardinal namba 3 wa Vatican ashitakiwa kwa ulawiti

Ukiisoma hii mada hasa hapo kwenye lugha ya Kiingereza utagundua kuwa mtoa mada ana mhemuko wa kidini. Hizo ni tuhuma tuu na mtuhumiwa amezikataa tuhuma hizo na kusema zina udanganyifu.

Usitende Dhambi.
 
Kwanini hambadilishi kitabu chenu mkawaruhusu kuoa hawa viumbe! wanaharibu watoto wa wenzao bila sababu ! tokea lini mwanamme anaweza kukaa bila kuwa na matamanio ya mwanake?!

Kamwe hamtaweza , hawataweza kufanana na Nabii Issa ambae alikuwa Mjumbe na kiumbe tafauti na wao! Kwanza wajue alizaliwa bila Mama yake kuingiliwa! je na wao walizaliwa hivo?
 
Dah! Sky Eclat Peter sio mwamba huo ambao Bwana Yesu alikusudia aliposema "juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu!" Kama mtu akisoma with an open mind Mathayo 16:18 atagundua kwamba ni kweli Petro sio huo mwamba. Mstari huo unamalizia kwa kusema "wala nguvu za kuzimu hazitalishinda." Sasa hili mbona nguvu za kuzimu zimelishinda mpaka Pope ni Jesuit na uovu ndio nyumbani pamoja na ulawiti? Obviously Peter sio huo mwamba.Sasa ukisoma Mathayo 16:16-18 ambapo Bwana Yesu alikuwa anaongea na wanafunzi wake again with an open mind, utagundua kwamba mwamba ambao Bwana Yesu alikuwa anazungumzia ni Yeye Mwenyewe.Huu ndio mwamba ambao truly nguvu za kuzimu haziwezi kuushinda, wala sio Petro.Dhana kwamba Petro ndiye huo mwamba is a distortion from the Devil himself.
Labda hujui kuwa Jina Petro maana yake ni Mwamba. Rudi Kanisa Katoliki Ujifunze Biblia.
 
Swala siyo kuoa bali kutunza maadili. Hate hao wanaooa, kila siku wanazini na wengine wanabaka. Ipo mifano mingi ya maaakofu na wachungaji wakihusishwa na visa hivi licha
ya wao kuruhusiwa kuoa.

Hata nyie mnaochangia humu, wengi mbaonekana kuwa wazinI pamoja na kwamba mumewowa
 
Ndiyo maana sitaki urafiki na tuviongozi hutu twa hivi vidini uchwara vya kigeni.

Na sitaki kabisa kusikia huo upuuzi wa dini uchwara ziwe za warabu pori , wazungu koko au za Asia wakae nazo wenyewe.

Unaona sasa huyu, anakula Vivulana maana havitavimba tumbo kwa mimba maana, anajua vibinti akivigusa tu vinashiba tumbo la miezi 9.
 
Halafu nikisikia eti watu wanakataa kumzika mkatoliki mwenzao kisa eti alikuwa ahudhurii jumuiya! Au eti huyu lazima azikwe Kiislamu au Kikristu ama sivyo hamna ziko! Hizi dini za kuiga kazi ipo, ukatoliki ndio haya ya Sodoma na Gomora, Uislamu kulipuana na kuchinjana kama kuku kama sio kuwanyima haki wanawake, Anglikana ushoga na ndoa za jinsia moja! Hindu kuamini kila kitu kuanzia Ng'ombe mpaka mito na maziwa...Kwenye Ubantu ushirikina, hasa wa kuuwa vibibi kizee na Albino!
Hata sielewi hiyo dunia ya baadaye ya vizazi vyetu itakuwaje?!
 
RC itazame upya suala la hawa watu kuoa. Mungu aliumba mume na mke kwa misingi yake
 
Halafu nikisikia eti watu wanakataa kumzika mkatoliki mwenzao kisa eti alikuwa ahudhurii jumuiya! Au eti huyu lazima azikwe Kiislamu au Kikristu ama sivyo hamna ziko! Hizi dini za kuiga kazi ipo, ukatoliki ndio haya ya Sodoma na Gomora, Uislamu kulipuana na kuchinjana kama kuku kama sio kuwanyima haki wanawake, Anglikana ushoga na ndoa za jinsia moja! Hindu kuamini kila kitu kuanzia Ng'ombe mpaka mito na maziwa...Kwenye Ubantu ushirikina, hasa wa kuuwa vibibi kizee na Albino!
Hata sielewi hiyo dunia ya baadaye ya vizazi vyetu itakuwaje?!
Nenda kaabudu milima na miti mikubwa si ndio dini ya mababu zako.au ukishindwa kaa hivyo hivyo hakuna atakaekuuliza.
 
Hao ni kuwa hawa kuwa na wito au walilegea katika imani na kumruhusu shetani kutawala hisia zao lakini utawa na ndoa haviingiliani.
kwnn hujiulizi kiakili na kuhoji instead unamsingizia shetan hii sio kesi ya kwamza australia peke yako kuna report 4000 na ushee tena kwa watoto wa kiume tu acha wa kike huko US i.e boston ndio balaaa huku kwetu kuna staha sababu watu wanaogopa kusema na pia kanisa linaogopeka. huoni badala ya kuja na njia mbadala ya kuepuka haya na sio kumsingizia shetan!!
 
heheh nacheka sana,

mnakumbuka kipindi cha nyuma kulikuwa na allegations nyingi sana kuhusu clergy men on sexual harassment? mnajua kwanini zilipungua gafla na zikawa hazisikiki kabisa kwa muda?? by then kanisa lilikuwa responsible na offence zote zilizofanywa na watawa na makasisi wake, na hivyo kulipa fidia kubwa sana walipopatikana na hatia (?) Kanisa lilibadili msimamo na kuweka uratatibu kuwa kila mtumishi wa kanisa anayestakiwa kwa makosa yoyote anawajibika binafsi na sio kanisa baada ya watu kutake advantage ya kulipwa fidia kubwa na kanisa. Na kwa kweli kesi nyingi zilikuwa za uchochezi zikiongozwa na maadui wa kanisa. tangu siku hizo..... ukawa ndo mwisho wa haya matatizo.... kwa hiyo sisemi hakuna makosa yanayofanywa perhaps yes, but mengi ni ya kupika na imagine.. kesi ya mtu alikuwa na 20ys anakuja kulalamika after 15 years mmmmh siwezi kukubali kirahisi hivi!
 
Ninachojua mimi katoliki ni yule Mwanamke kahaba wa ufunuo 17,

Sasa nyie mlioendelea kumwamini huyu mwanamke na ulevi wake polenisana
 
Mkuu acha kupotosha kuwa Pope Benedict aliachia madaraka kwa sababu ya makasisi shoga. SIYO KWELI
ttz lako una upofu lkn ufisadi uliotamalako banki ya vatican pamoja na kundi la makasisi mashoga ni miongoni mwa sababu zilioshinikiza hebu pitia vyombo vya habari vya kimataifa na makala utayaona yote hayo. na
 
Wangapi humu ndani, wenye ndoa, michepuko na bado wanachukua mashoga ?
Huyo tumemzungumzia kwa kuwa ni Roman Catholic cardinal?
Wangapi hata katika ndoa zao,Huwapa huwalawiti wake zao?
Yanayotokea ni madhaifu ya kibinadamu.Mtu ata awe nani, atabaki kuwa mtu.
Toa kwanza boriti katika jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako .
 
Labda hujui kuwa Jina Petro maana yake ni Mwamba. Rudi Kanisa Katoliki Ujifunze Biblia.
Ninajua maana ya jina Petro.Ila hiyo sio issue sana, mbona kila jina lina maana! Naomba usome Mathayo 16:16-18 with an open mind. Concentrate on verse 18 hasa 18b and then connect this with what is happening in the Roman Catholic Denomination.I do not call it Church for obvious reasons.
 
Back
Top Bottom