Yale meno yake alisharekebisha?
Kweli pesa ni kila kituHahahaaa yeah...sasa hivi yapo swafi kabisa halafu ni meupeeee...
Hamna bana issa good rapper. Ujue kaingia katika nomination 9 za BET kwa bodak yellow pekee. I bet atafika mbali from striper to bodak yellow hatari hatari. But naziona swagga za Nicki ndani yake,so ni kama tishio Fulani kwa Nicki. She is beautiful tho...Bado sijamuelewa kivile atapotea kama mwenzake Iggy Azalea.....naamini anabebwa kuliko kipaji alichonacho...kizazi cha sasa female rapper ninaowaelewa ni Young M.A,Remmy Ma na Nick Minaj kwa mbaliiii.........
Yeah Yeah Madam....ila kinachoboa zaidi ni kwanini apigiwe promo kubwa ya kukaa kwenye billboard top 100 awe #1....najiuliza mengi....naona kama media zinambeba sana tofauti na uwezo wake....Yeah...Nick ni mkali na Nick huwa anakausha tu hajihusishagi kwenye kumlinganisha. yeye nai wenzake...Remmy Ma kamdiss we na 'Sheather' ila kakausha....hatakagi kumweka mtu juu kupitia yeye....Hamna bana issa good rapper. Ujue kaingia katika nomination 9 za BET kwa bodak yellow pekee. I bet atafika mbali from striper to bodak yellow hatari hatari. But naziona swagga za Nicki ndani yake,so ni kama tishio Fulani kwa Nicki. She is beautiful tho...
Imma team Nicki anyway..
Sure media hata insta naona wanampa promo sana.Yeah Yeah Madam....ila kinachoboa zaidi ni kwanini apigiwe promo kubwa ya kukaa kwenye billboard top 100 awe #1....najiuliza mengi....naona kama media zinambeba sana tofauti na uwezo wake....Yeah...Nick ni mkali na Nick huwa anakausha tu hajihusishagi kwenye kumlinganisha. yeye nai wenzake...Remmy Ma kamdiss we na 'Sheather' ila kakausha....hatakagi kumweka mtu juu kupitia yeye....
Sure Madam.....haahaahaa i just luv the word 'issa' 21 savage kakuharibu eenhSure media hata instance naona wanampa promo sana.
Nicki issa Nicki,she is the Queen bhana.
SanaaaaSure Madam.....haahaahaa i just luv the word 'issa' 21 savage kakuharibu eenh