Car wash project! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Car wash project!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Lughe, Jul 8, 2011.

 1. L

  Lughe Senior Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hi to everyone,and hope you do fine.

  Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa.

  ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na
  1.compressor machine
  2.stand by generator in case of Tanesco power off
  3.water tank 250ltr kwa kuanzia
  4.site/rental

  kwa estimate naweza kusanya zaidi ya 30 thousands per day kwa capital kama ya 2.4millions.

  haya ni mawazo yangu ktk pasua kichwa yangu.

  kwa hiyo basi nawaombeni ushari wenu kuhusu hii idea ya huu mradi kama inamanufaa,vilevile nitafurahi sana kujua maeneo
  ambayo ni mazuri/location kwa hii shughuli ubungo,kimara,Dar es Salaam.

  natanguliza shukrani.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  goo idea mkuu, nina wasiwasi na mtaji kama utatosha
   
 3. L

  Lughe Senior Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sawa...unaweza kuwa mtaji mdogo.......ila naomba unipe makadirio yako na ukinipa na mfano nitafurahi sana.
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilipata wazo hilo mapema last month. Nikaenda maeneo ya posta kufuatilia bei ya hizo compressor. Bei ya chini kabisa ni 3,500,000/=. Kwa hiyo jaribu kurekebisha hiyo bajeti.
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kama biashara unataka kuifanyia mjini lazima uongeze mtaji ili kuweka huduma ya kisasa zaidi na yenye ushindani
   
 6. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa kuanzia kabla hujafikiria kitu ..Piga hesabu ya kuchimba kisima maji..weka kama Million 5 na Generator la umeme Million nyingine 5 na Lease ya eneo at minimum..kama laki 3 kila mwezi..baada ya hapo jazia bajeti za lazima na angalia utachukua muda gani ku-break even.

  Kutokana na matatizo ya Maji na Umeme..utavutia wateja kama kama watapata uhakika kwa kusafishiwa magari muda wote..sio wanachoma mafuta kuja kwako halafu wanakuta vijana wako wanasoma magazeti hakuna maji wala umeme.
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu asante kwa mawazo mazuri ya kuwa na sustainable and independent source ya maji

  lakini kama mradi huu utafanyika DSM maji ya kuchimba kisima yana chumi hivyo hufanya body za magari kuoza (corrosion) yaani kupata kutu (iron+salt=rust)

  hiyo basi lazima utegemee maji ya ruvu toka DAWASCO kwa kujenga underground reservoir tanks au kuweka suspended poly tanks

  hili ni la kuzingatia sana, pia biashara hii inaweza kuenda samabamba na refreshments au beverages
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ndugu nimefanya utafiti target yako ni kiwango kidgo amapo weye tutakulipa 2500 mpaka 3000 kwa gari na kwa namana mandalizi yako yalivyo , kwako tutaleta gari upukute vumbi wakati tukisubiria siku ya kuosha tukaoshe kikweli kwa wenye viosheo..........unauweka wapi huu mradi wako pale wami darajani ama? maana hela yako hii yote itaishia kweneye kunua ma tanki ya maji madogo labda ma2!

  Unamiliki gari ? Basi nakushauri tembelea car washers hapa Dar uone how serious they are and how this is a serious business amabko kuna shemu ukiambiwa ulipe 50,000/= wala hubishi.............unapeleka gari wanafungua mpaka viti wanavitoa nje wamnalisafisha gari sehemu zote kwa mashine za kisasa ambazo hii 2.4 yako hapa labda itanunua mpira wake wa kurushia maji

  in one word nasema JIPANGE.............usilete utani kwenye kazi!
   
 9. w

  wanan Senior Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nataka kuinvest dar,naomba wadau msaada wa mahali naweza fungua car wash dar ambapo naweza kupata wateja vifaa vyote ninavyo .hii biashara ipo ndani ya moyo kuliko fani ambayo nimesomea mpaka chuo.kupenda kuosha magari imekuwa ndani ya damu kwani tangu utoton nilikuwa napenda sana kuosha magari ya baba.wakati baba alifikiri ananipa adhabu kumbe mm nilikuwa napenda.Hivyo nimeona nifanye kitu ambacho napenda na nakifahamu.wadau naombeni msaada wenu.hii itakuwa yapili yakwanza stationery nimefungua songea pia ni msaada wenu wanaJF.THANKS IN ADVANCE
   
 10. A

  Albimany JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Tafuta eneo kuanzia salenda brdge (Ali hassan Mwinyi Road) hadi mbezi beach,maeneo ya tangi bovu kuelekea mbele kidogo.

  Au maeneo ya msasani na osterbay,
  Maeneo hayo ndio maeneo yenye watu wanaohitaji zaidi kuoshewa magari na hawajali bei wanajali huduma bora.
   
 11. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mkuu,KIGAMBONI.hamna Carwash ya maana na kuna watu wengi wanahamia wenye magari ya kifahari na wanauwezo.fanya survey between Monday-Friday .Jioni wakati wanarudi home kutoka Town.ukienda weekend utakutana na magari ya watu wanaoenda shamba/Site na beach places haitakupa picha nzuri ,ila katikati ya week utapacha picha halisia.Mungu bariki mimi nahamia huko mwakani so i will be u customer too :)
   
 12. b

  bigjeff Senior Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Salaam aleykum waugwana....nataka nifungue car wash business..sasa naomba wazo la location ambayo ni nzuri waungwana ambapo baadae nitaweka na tyre fitting pia asanteni..naombeni mawazo kidogo....happy christmas and new year
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni mbabe/mtoto wa mjini basi nenda Mbezi mwisho a.k.a Mbezi luisi panapojengwa/kilipojengwa kituo kipya cha daladala, pata kipande pale upige kazi. Utaokota madafu hadi ukimbie.
   
 14. s

  sawabho JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Uko mji gani?
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Location: mpwapwa.
   
 16. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kapotea,nahisi ni mchina anatumia google translator into kiswahili.
  car wash inalipa maeneo yenye shughuli za bar,saloon,stand ya mabasi.
   
 17. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,638
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  mnamkumbuka member mwenye jina la TQ_4U,kiswahili chake kilikuwa hivyo...nilikuja kugundua jamaa yule ni Mmarekani aliwahi kusoma chuo fulani hapo Arusha. JFni international bwana!
   
 18. b

  bigjeff Senior Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwaniini niwe mbabe kaka...asante kwa mawazo
   
 19. M

  Malila JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Plot kama zile pale mbezi Luisi hazipatikani kirahisi hata kama una pesa. Kama uko dar basi pale ni miongoni mwa maeneo hot kwa sasa. Njia ya kinyerezi inatokea pale,njia ya goba inatokea pale,njia ya mpigi Magohe inatokea pale,Vipanya vyote vitaishia pale, kwa hiyo muda mfupi sana kuanzia leo Mbezi Luisi itageuka Mwenge fulani hivi.
   
 20. b

  butogwa Member

  #20
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alykum salam! Hongera sana,unaweza ongeza hair saloon,min supermarket na ka grocery kama imani yako inaruhusu hivi pia vinaweza leta wateja.
   
Loading...