Car Wash Business | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Car Wash Business

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kingdom_man, Oct 18, 2012.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 80
  Kwa wale Wajasiriamali wenzangu naweletea hili wazo la biashara ya kuosha magari ( Car Wash ), Ni biashara ambayo haina stress na investment cost ni ndogo compared to return_Profit, unaweza ifanya mkoa/mahali popote. All you need ni mashine, maji kidogo na sehemu basi nzuri.
  Kwa kuanzai utahitaji mashine nzuri za kutendea kazi. Kuepuka longolongo ni bora kununua mashine mpya zenye guarentee za hadi miaka 3

  SEE THE VIDEO CLIP FOR AN IDEA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa ila mashine bora zinapatikana wapi mkuu? tupia na bei zake kama utafanikiwa kuziona mahali
   
 3. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 80
  Mashine kama hiyo uliyoiona hapa inagarimu £ 2,895 mpaka Dar.
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu weka contact zako hapa jamvini. Nimependa hizi mashine
   
 5. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Hii biashara naikubali sana.....na inalipa sio utani, i was thinking of running such a business too. Kuna rafiki yangu flan anazo 3 zipo mkabala barabara ya Sinza, Shekilango road......Anapiga hela sana na mwenyewe anakiri ndio inamuweka mjini !!! Cha muhimu upate location nzuri na sehemu iki match na pub/bar inakua vizuri zaidi !!! Nipatie contact zako nitakutafuta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 80

  Ni kweli wadau. Hii ni straight business. Mfano mzuri ni pale carwash_victoria gari moja elfu 16,000 nje na ndani tu bila engine na wao wanatumia mashine za zamani za maji. Hii steamer ya kisasa ambayo inafanya kazi kwa ufasahaa zaidi hadi kuosha engine kwa steam/mvuke moto. Na kutumia maji kidogo kama ulivyoona Kwenye videoclip ni uhakika utatengeza pesa. Kikubwa ni location ya wazi BASI!!.
  Kama mpo serious ni PM for more details visit www.morclean.co.uk
  Thanks!.
   
Loading...