Car Tracking services

Ukitu

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
217
181
Sumtech Company Limited
Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona,
-Speed
-Sehemu ya gari yako ilipo
-kuzima au kuwasha gari
-Routes za gari
-Gari lilipo
-Mwendo wa mafuta,kujua mafuta yaliyowekwa au kiasi gani cha mafuta kilichotumika.
-etc
Gharama zetu ni 23,000 per month VAT inclusive with free installation
Tunapatikana Arusha,Kaloleni Denso block first floor
 
Track your vehicle anywhere and anytime.
Contact us for more information
Sumtech Company Limited
 
Wakati wengine wanakufungia kwa 99000 na haulipi monthly charges.
 
Tatizo la Watanzania services zao wanatangaza uongo. Hakuna chochote mnachofanya special kuliko wao maana devices zote ziko sawa nq zote za china.
Services ambazo zinatolewa zinaweza kuwa tofauti,Sisi kifaa chetu kinaonyesha service nyingi ambazo mteja anaweza jua kuhusu gari yake.
 
Wafunga gps wengi wao wanadanganya watu kuhusu monthly charges kwa visingizio vingiii
 
Wafunga gps wengi wao wanadanganya watu kuhusu monthly charges kwa visingizio vingiii
Kama nilivyo kwambia hapo awali services ambazo zinatolewa zinatofautiana.
Kama mteja anahitaji kwa kutrack gati peke yake sawa,Lakini mteja akitaka kujua vitu vingine kama ku monitor mafuta au kusikiliza mazungumzo hapo lazima utume satellite,ndo mana kuna hizo monthly charges.
Thanks, Karibu Sumtech Company Limited
 
Car Tracking Services
0692423587
 

Attachments

  • F94390E4-7419-460B-BCA1-4ED7D1B767A3.jpeg
    F94390E4-7419-460B-BCA1-4ED7D1B767A3.jpeg
    101.6 KB · Views: 2
  • 80925FE9-DED6-4525-97AE-D3F1947BC403.jpeg
    80925FE9-DED6-4525-97AE-D3F1947BC403.jpeg
    139.9 KB · Views: 2
Sumtech Company Limited
Your Challenge is our progress
0692423587
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom