Capt wa ndege afariki guest gongo la mboto!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,940
22,095
Kapteni mmoja wa ndege MSTAAFU aliekuwa akiendesha shirika moja la ndege la taifa tanzania hivi majuzi wiki mbili zilizopita yamemkuta yaliomkuta MC LEMA pale Gongo la mboto..na hili nimeweka kwenu ninnyi mlio na watoto nje mnaochezea pesa zetu na malaya tukiwatumia huko Bongo

Katika kupigiwa simu mzee na mwanae alie marekani mzee wetu aliekea west union kuchukua doller zake 2000 baada ya kuchukua akachench baadhi pale posta zilizobakia akapigia mizigo yake na kwenda kulala nayo guest house pale gongolamboto..katika kuonyesha mzee alikuwa kidume mwanamke wa tatu ndie aliemfia kwa siku hiyo ilikuwaje

Mhusika wa guest house anasema mzee aliingia na kifaa kimoja akakichapoa akaanza akaja mwanamke wa pili akaenda nae mpaka kumi mchana akaaga tukaashangaa akaja mwingine anaulizia chumba hiocho hicho huyu akaamua kuondoka na uhai wa mzee wetu ..alikuwa mteja wetu mzuri sana hata akiishiwa tuna uhakika wa kulipwa alisema kijana anaelinda guest...

Polen sana wanafamilia poleni na yaliowakuta mama mjane usiwaze sana MUNGU ndie anaepanga aujui mateso alieokuwa akikupa ..kama ombo tu jamani..ninyi wazazi watoto wenu uku atuuzi uchi kusema biashara ya kudumu tunabeba ma box siku ayapo tunalala nyumbani kwa heshima na taadhima tunaomba muheshimu pesa tunazowatumia...kwa bahati mbya yule binti aliondoka bila kusema lolote na hivyo akuna aliejua mpaka ilipofika saa tatu maana jamaa wa guest walitaraji mwinigne anakuja ..kupiga hodi ola ..mmh wakaamua kuvunja na kukuta mzee hata hela ya kulipia guest hana mwanamke amemsalula kila kitu..mbaya zaidi akamwekea risiti yake ya bureau kwenye kifua..nanyie makahaba embu mkituulia baba zetu hata kama mko mbali wapigien hata polisi mbona line ziko mbali ama mpaka waanze kunuka wakati wamewasitiri kwenye kitanda...muwe na ustaarabu ati .......

maziko yamefanyika wiki iliopita

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA .....
 
daaah!madingi sasa hiyo aibu.inabidi mstaafu hadi hizi fouls za kijinga.tuachieni na vijana sasa maana ndio wakati wetu
 
Yaani hawa wazee bana juzi nilikuwa saloon nikawa napaka sana wazee kutulia dada zetu badaa ya kutuachia vijana kukawa na mzee mmoja annapaka rangi nyeusi ya nywele alipoondoka jamaa kinyozi akasema yaani ulikuwa unamtupia mzee mawe maana mzee huyu anamaliza nyumba baada ya nyumba na cruser lake la ofisi ya waziri mkuu,,nkasema loh yashababi..aende salama
 
Kifo cha Mashujaa !

Kumbe mtoto wa Capt marehemu bado yupo majuu anabeba box?

BTW: Hela unayomtumia mzazi wako, si vyema ku-audit matumizi yake!! Timiza wajibu endelea na maisha na wewe kuna siku utazeeka!
 
[alikuwa na nguvu sana inaelekea]

Viagra...

Huyo akuaga nyumban vizuri tatizo moja wanataka kulipiza visasi starehe walizokimbia ujananinakueleza ukweli kama uamini nenda pale chuo ukaone ma PROF NA DK wanavyoteseka walikomaa na shule matokeo yake wanaishia na mabarmed pale sisimizi udasa,pale utawala awana jipya ...ni shda tupu
 
anaonekana hata skramento ya mwisho kajilisha mwenyewe akaanza ama tuombe MUNGU ako kabinti kasijekuwa kamekula
 
Ningaliweza kupanga kifo changu basi ningaliopenda kiwe kama cha huyo rubani. Shujaa wangu huyo!!!
 
Sivizuri kucheka msibani lakini hii story ilivyowekwa jamani nimecheka sana, kumbe mzee alikuwa anakopa guest??
 
Hivi huyo kaipteni hana jina?

mbona tunamdhalilisha marehemu kwa kutotaja jina lake?
 
mshahara wa dhambi ni mauti bali karama za mungu ni uzima wa milele.
 
Back
Top Bottom