Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.
Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.
Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.