Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.

Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.
 
Something is very wrong somewhere!

Labda hajaongea haya. Para ya pili haiwezekani ikaongelewa na Mhe. Mbunge tena mwanaume. Tell me umeongeza chumvi.

Tunakosa wa kumbebesha lawama tunafikia kwenda this low? Siamini kayaongea hayo
 
Poor thing IYENA IYENA, ndo maana JK huwa analalamika kuwa anashauriwa vibaya, hao ndo wana ccm hao, wanaacha ku deal na genuine causes za matatizo wanatafuta scapegoats...
 
Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.

Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.

huyu jamaa anaiogopa sana CHADEMA, aliposimama tu nilijua hawezi jizuia bila kuitaja!
 
Akichangia bungeni mbunge wa Nyasa - Mbinga Capt Komba amesema CHADEMA ni chama kinachochangia kushuka kwa elimu kwa sababu kimekuwa kikienda vyuoni na kuhamasisha migomo na mandamano na kufanya wanafunzi washindwe kusoma kwa utulivu.

Ameenda mbali zaidi kwa kuwaita CHADEMA kuwa wana kisebusebu na kiroho pabo na ndiyo maana jimboni kwake Mbinga na Nyasa CHADEMA wamekataliwa.

Hopeless, poor minded mp.
 
Huyu muimba taarabu ameamua kutoa mipasho yake bungeni.
Hii nchi itachua mda sana kulekebisha fikra za vilaza kujitambua
 
Wanawalaghai walimu wagome ili kuidhoofisha serikali na wananchi. Poor cdm and shame on you.
 
aliendelea kusema kuwa hata vijana wa bodaboda wanawafanya washindwe kufanya kazi zao za kimaendeleo kwa kuwatumia katika maandamano.
 
Hivi lile zoezi la kuwapima hawa waheshimiwa kama wametumia madawa ya kulevya kabla ya vikao vya bunge limefikia wapi?? Yaelekea huyu amevuta kupita kiasi leo...!!!
 
kigwangala aliomba apewe chumba cha kuwatibu na aanze na tundu lisu lakini hakusikilizwa.
 
Chadema wanawatumia walimu kudhoofisha elimu nchini mwetu, walimu kila siku mgomo, wanafunzi watafaulu??
 
Back
Top Bottom