Capitalism =democracy??

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Kuna mtu nimemsikia akisema kuchagua capitalism an kutaka kusiwe na masikini wa kutupwa, ni sawa na kuchagua ukristu na kukataa kuwapo kwa 'motoni'.

Nadhani kuna ukweli fulani, haya mambo ya free trade, mambo ya global economy, mambo ya stock markets, halafu unategemea masikini waondoke si kweli.
Masoko ya chakula au nafaka sio ya kumsaidia mtu yoyote, ni ya kumsaidia mfanya biashara, ni hakika japo chakula na bighaa zilizopo duniani zinazidi mahitaji yetu sote, lakini kwa kuwa serikali zetu zimeamua kufuata masilahi ya wafanya biashara, wataka faida, then tuna uhakika kama si mimi, kuna ndugu yangu atakufa kwa njaa.

Mfano hapa TZ, tunauza nafaka kwa meli wakati tunanunua pia chakula kwa meli, hii ni bishara ya WAFANYA BIASHARA sio watu wa kawaida, yani wazalishaji na watumiaji.
Mwenzenu nashangaa na sikubaliani TZ tunakoenda, tunavyofuata siasa za kiuchumi za nchi ZILIZOENDELEA ni jambo la busara sana, inabidi sana kuchuja, kwani mtu yoyote anaona jinsi mifumo yao inavyodondoka sasa.
 
Kuna mtu nimemsikia akisema kuchagua capitalism an kutaka kusiwe na masikini wa kutupwa, ni sawa na kuchagua ukristu na kukataa kuwapo kwa 'motoni'.

Nadhani kuna ukweli fulani, haya mambo ya free trade, mambo ya global economy, mambo ya stock markets, halafu unategemea masikini waondoke si kweli.
Masoko ya chakula au nafaka sio ya kumsaidia mtu yoyote, ni ya kumsaidia mfanya biashara, ni hakika japo chakula na bighaa zilizopo duniani zinazidi mahitaji yetu sote, lakini kwa kuwa serikali zetu zimeamua kufuata masilahi ya wafanya biashara, wataka faida, then tuna uhakika kama si mimi, kuna ndugu yangu atakufa kwa njaa.

Mfano hapa TZ, tunauza nafaka kwa meli wakati tunanunua pia chakula kwa meli, hii ni biashara ya WAFANYA BIASHARA sio watu wa kawaida, yani wazalishaji na watumiaji.
Mwenzenu nashangaa na sikubaliani TZ tunakoenda, tunavyofuata siasa za kiuchumi za nchi ZILIZOENDELEA ni jambo la busara sana, inabidi sana kuchuja, kwani mtu yoyote anaona jinsi mifumo yao inavyodondoka sasa.
Hebu angalia tnakoenda, bei ya mafuta, bei ya chakula, ni kweli hizi ndio costa ya hizi bidhaa? Je ni sawa bei ya bidhaa muhimu na basic kupangwa na nguvu ya soko? wewe kama binadamu wa kawaida, ambaye hujawa conditioned na masomo uliyosoma.
 
Wananchi nikimaanisha citizens of a specified state. Elimu yao, afya yao, population distribution yao based on sex,age....
Religion na beliefs zao, culture as a whole and so on..
Capitalism au socialism inategemea na watu wenyewe wapo vipi, it can be a very good system if it has the right kind of people.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom