Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji itazimwa Aprili 29 Mwaka huu, haijawahi tokea kwa miaka 100

Scientist wamekuwa akipiga kelele kuhusu rising Sea levels, halafu na Ukame.

Technology ya kufanya Sea water into fresh water ipo, in times like this, Sea water rising kwanini tusitumie hio technology ya kuyageuza kuwa fresh water? Japokuwa yatakuwa sio 100% mazuri for drinking, lakini yatasaidia kwa shughuli ambazo zinatumia maji mengi, kama kuosha vyombo, kuoga, na kadhalika.

Sijui watu hawafikirii au hili suala lina ugumu sana?
Very expensive ,hii wanaweza dubai tu
 
Mkuu hiyo technology naona itakuwa ngumu sana kwa nchi za Africa kwa sababu
1.Very expensive sana manake iyo reverse osmosis inahitaji umeme wa kutosha na uhakika
2.Tatizo LA waste disposal bado ni changamoto sana kwa nchi za Africa. Iyo sludge inayozalishwa baada ya kusafisha maji (itakuwa ni chumvi ya kutosha) moja kwa moja itarudishwa baharini, hii ni hatari sana kwa viumbe hai waliopo majini
 
Mkuu, Maji ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. As a leader, huwezi kunambia eti "desalination is very expensive so we are not going for that plan, let people remain thirsty until rain comes". Hivi kweli hizi ndio hoja zenu katika kutetea serikali isiende njia hii? Ukweli huwa mnanishangaza sana, COSTS over HUMAN LIFE? Nimeinua mikono, wacha tuwe Wafirika tu!

Just for your information, nakumbusha tena, Zanzibar kuna kisiwa kinaitwa mnemba Island, hichi kisiwa ni private island, kinatumia desalination plant kwa ajili ya maji kwenye kisiwa hicho halafu serikali ishindwe kuwa na hio plant? Serikali kwa siku inakusanya kiasi gani? (Nazungumzia ya south kwenye shida ya maji). Watu wanalipa kodi kwa ajili ya kupatiwa huduma za Jamii, sio eti alipwe rais au anunue Mercede S class atembelee. Pesa za watu zipelekwe kwenye kuwatafutia solution watu wa Cape town bila kujali gharama.

But its Africa sio. Vichwa mchungwa
 
Scientist wamekuwa akipiga kelele kuhusu rising Sea levels, halafu na Ukame.

Technology ya kufanya Sea water into fresh water ipo, in times like this, Sea water rising kwanini tusitumie hio technology ya kuyageuza kuwa fresh water? Japokuwa yatakuwa sio 100% mazuri for drinking, lakini yatasaidia kwa shughuli ambazo zinatumia maji mengi, kama kuosha vyombo, kuoga, na kadhalika.

Sijui watu hawafikirii au hili suala lina ugumu sana?
Israel ndiyo wanayoitumia sana hiyo technology
 
Hivi kweli unadhani kule hakuna vichwa mbavyo vimefikiri zaidi ya hicho unachokisema? Ha ha ha haaa. Nimecheka sana eti unawashauri wasauzi ambao wanawaendeshea hata shirika la ndege
Kweli asee mchizi kazingua.
 
Back
Top Bottom