Car4Sale Canter tipper inauzwa

pakapori

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
536
620
Habari ya muda huu wakuu..,

Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa.
Contact: 0786412030

IMG-20201128-WA0002.jpg
IMG-20201128-WA0003.jpg
IMG-20201128-WA0004.jpg
IMG-20201128-WA0005.jpg
IMG-20201128-WA0006.jpg
 
Habari ya muda huu wakuu..,

Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa.
Contact: 0786412030
body imeandikwa 2 TON
 
Weka picha za engine yake, bonus cabin yake, picha za ndani pia ni muhimu kuxionyesha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom