Candidate for the post of Director General of UNESCO

CV yake ni nzuri! Tunamwombea apate hii nafasi!

Who are the other competitors??

Mkuu swala siyo kumuombea...kama unaweza ongea na Membe akamfanyie kampeni huko kunako...maana hizi kazi ni za kupigiwa kura...siyo za kuteuliwa... Sasa mkuu utachaguliwa bila kampeni? Harafu huyu bwana kuna thread yake hapa tulishamjadili na wenye mapenzi mema kama wewe walishajitoa kumuombea dua...mimi nilisema TZ itumie diplomacia yake kumfanyia kampeni..sijui tulikoishia...

Watanzania tuwe makini sana tuache hizi longo longo za"kuomba dua" lets do the walking. Unajua Warioba alikosaje re-election ya ile mahakama ya UN kule Hamburg 1999? Bongo walikaa kimya wakiomba dua mzee apate nafasi baadala ya kumfanyia kampeni! na mzee wa Cape Verde Mh. Jesus akalamba nafasi yake kama hana akili nzuri..watu wakabaki wanaulizana..oohh Warioba maarufu nk..ukweli ni kwamba DUA hazitoshi..tufanye kazi.

Huyu bwana hiyo nafasi nadhani hawezi shinda maana African Union walishampendekeza jamaa wa Egypt.

Masanja,
 
Back
Top Bottom