Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 453
- 376
Habarini za saa hizi wataalamu wa kufikiri, mada ninayotaka kuzungumzia leo ni kuhusu ugonjwa wa cancer ambao ndio unaoongoza kuuwa watu duniani sasa hivi mfano Marekani cancer ndio chanzo cha vifo vingi kuliko hata ajali za barabarani,.
Cancer tafiti nyingi zilifanyika sana na kuangalia kama kuna namna ya kuzuia lakini sasa ni biashara ya makampuni makubwa sana ambayo yanaingiza mabilion ya pesa,
Tukianza kuangalia Cancer wanazuoni na wana sayansi mbali mbali wanasema kuwa ni fangus lakini ni kitendo cha pale cell za mwili au kiungo flani zinapojizalisha bila utaratibu maalumu.
Cell za cancer hukua vizuri zaidi sehemu amabyo hakuna oxygen
pili cancer hukua vizuri zaidi katika PH ambayo ni ndogo maana yake ni under acidic medium.
kama tukicheza na izo variable mbili PH na kukosekana kwa oxygen ambazo hizo cell hukua vizuri basi kuna vitu tunaeza fanya tukazuia kapatwa na haya maradhi.
tufanye nini
1.tule vyakula ambavyo ni alkaline in nature kwa wingi zaidi
2.KUNYWA MAJI YENYE LIMAO ASUBUHI.limao kwa asili ni acid lakini likiingia kwenye mwili wa binadamu hubadilika na kuwa alkaline.,hivyo kwa kunywa maji yenye limao utaweza kuongeza PH ya damu na ivyo kutengeneza mazingira magumu sana kwa cell za cancer kukua na hata magonjwa mengine.
kwa ufupi magonjwa mengi na vijidudu vingi hukua ndani ya ph ndogo ambayo ni acidity.
tatu kufanya mazoezi kongeza oxygen mwilini.
NNE NI kula vyakula ambavyo ni vya asili amabvyo havijapigwa chemical nyingi.
warning.JIEPUSHE NA ULAJI WA KABICHI NI HATARI KWA AFYA YA MWILI YAKO