Canadian Mining Journal: Acacia kuwa nje, Wachimbaji wadogo wadogo watateseka Tanzania.

article

article

Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
91
Likes
178
Points
40
Age
29
article

article

Member
Joined Sep 10, 2016
91 178 40
1481624308302-png.445656

Kupitia kwenye tovuti yao ( COMMENT: Acacia out, artisanal miners will suffer in Tanzania - Canadian Mining Journal) Wanasema maamuzi ya Rais kufuta lesseni ya Acacia yatawafanya wachimbaji wadogo wadogo wateseke.

Hawa watu wanatufanya kama sisi hatuwezi kusimamia maliasili zetu na wanataka watupangie nini cha kufanya na mali zetu naona wana lengo lililojificha.

Nakushauli Mkuu wa nchi utenge fungu maalum kwenye "budget"ya mwaka ujao (2017/2018) ili uchimbaji katika eneo husika ulete manufaa makubwa kwa wachimbaji hao wadogo wadogo na kwa Taifa kwa ujumla ili wapate fundisho kwamba kweli una malengo ya kumkomboa Mtazania mnyonge.

Wanasema hivi nanukuu:

"Tanzanian president John Mafuguli has cancelled a prospecting licence belonging to Acacia Mining, formerly African Barrick. Instead, he told reporters that the artisanal miners would be allowed to stay at the site.

“How do you kick out more than 5,000 people in favour of just one investor?” he was reported to say.

A large part of his thinking may be guided by the fact that his government expects foreign owned mining companies pay more taxes, build local smelters, and list 30% of their shares on the local stock exchange. Acacia does not meet those criteria.

The problem is that those 5,000 artisanal miners will remain at high risk for injury or death in an unregulated workplace. Falls of ground, exposure to toxins, a conscripted workforce, and child labour are some of the perils facing 5,000 people as they scramble over one another to scratch a living out of the dirt.

Barrick knows well the dangers faced by artisanal miners. From the company’s “Beyond Borders” in October 2008:

“At age 13, Alfaxad Chacha started digging. He never stopped. Seven days a week, 14 hours a day, he sifted through the red mud and rock of the Tanzanian landscape under an equatorial sun. With a little luck and a lot of backbreaking labour, Alfaxad and his friends eked out a meagre living on the miniscule bits of gold they uncovered.

“Today, Chacha is 50 years old. He lives in the village of Kerende in Tanzania’s Mara region. A life of digging for gold under the ground has hardened him.

“ ‘I am an artisanal gold miner. I have been all my life and so were my parents before me, but I’m not too proud of what I do’” Chacha says. ‘My work is barely able to support me, my family and my community. It is very hard work for very little money. This is not the life I dreamt of, but it is all I have.’

“Like many others, Chacha spends his days digging, crushing and grinding ore to unlock the small particles of gold it contains. He sells his product for a fraction of its true value to gold dealers who pass through the village. It’s part of an underground gold industry in Tanzania – one with no government regulation or oversight of any kind.

“’I know I put my life at risk, using explosives with no safety equipment. I put my family in danger by exposing them to mercury. I put the land at risk because the sulphates, mercury and arsenic I leave behind destroy our crops and pollute the water,’ Chacha says. ‘But I don’t do this because I want to; I have no choice. I have to make a living and support my family.’ “

If the Tanzanian president believes this type of existence is suitable for his people, he is sadly mistaken.

Acacia’s involvement could provide training, jobs, and social stability to many of the local communities. Instead of nearly starving for endless work, the people could be offered a hand up toward establishing small businesses – those that serve mining, the local agricultural sector and much, much more.

For everyone who needs to refresh their approach to working or interacting with the artisanal and small scale mining sector, we will refer you to the Alliance for Responsible Mining (www.ResponsibleMines.org). This organization has launched an e-learning platform for just that purpose. The central themes are based on the responsible mining practices of the Fairmined Standard, which promotes business development and social and environmental responsibility."

Nawasilisha,

Article.
 
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,078
Likes
3,104
Points
280
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,078 3,104 280
Hawa wachimbaji wadogo nao wanamaajabu yao... wanauwezo wa kubahatisha hata bilioni moja kwa siku lakini hawafikirii kuwekeza kwenye uchimbaji wa kisasa zaidi ya kupanga cret za bia hadi zifikie urefu wa mlima baadaye wanaitaka serikali tena iwape pesa wakati wao ni wafujaji
 
S

stemcell

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Messages
666
Likes
534
Points
180
S

stemcell

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2015
666 534 180
Hamna mchimbaji mdogo wa dhahabu aliyowahi kutajirika,ila wanapata kipato cha kuwasaidia kimaisha,ni heri mtu apate kidogo kuliko kukaa kijiweni na kuwa ombaomba.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,262
Likes
55,155
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,262 55,155 280
Waondoke tu, siku zote walikuwa wapi kusaidia wachimbaji wadogowadogo
 
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
4,433
Likes
1,546
Points
280
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2013
4,433 1,546 280
Kawaangalie hawa wachache wakina Zacharia wa Musoma, Baraka wa Geita, Patel wa Nzega, Jose Madawa wa Kishapu na huyo Kishimba mbunge wa Kahama.
Unamaanisha Zakaria mwenye mabasi ya tarime mwanza?
 
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
4,433
Likes
1,546
Points
280
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2013
4,433 1,546 280
Hawa watu weupe wanashida sana! Eti "Acacia out, artisanal miners will suffer in Tanzania".

Kuna mahusiano gani kati ya wachimbaji wadogo wadogo na Acacia?

Acacia watawasaidia vipi hawa wachimbaji wadogo wadogo pindi watakapofanikiwa kuwekeza katika hilo eneo?

Jee hapo awali waliwasaidia vipi wachimbaji wadogo wadogo wa maeneo ya Tulawaka, Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara?

Lakini kwani iwe kila siku ni wao! Kwenye ukwepaji kodi ni wao! Kwenye kuhodhi maeneo ya wachimbaji wadogo ni wao!
Kuna ajali iliwahi kutokea huko bulanhulu. Mafuriko yalijaa maduarani baada ya mto bugarama kufurika. Waliofia humo Mungu tu anajua.

Mgodi walisaidia sana kuopoa maiti na walau kuuweka mto vzr kwa kutumia magreda yao.

Usidhani hawasaidii. Na wangefanya mengi isipokua walioenda kusainia mikataba Londan (wa Buzwagi nadhani) ndo wametuletea matatizo makubwa.
 
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
4,433
Likes
1,546
Points
280
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2013
4,433 1,546 280
Waondoke tu, siku zote walikuwa wapi kusaidia wachimbaji wadogowadogo
Umeishi maeneo kwenye migodi ya acacia? Wanasaidia sana tu. Hasa kwa huduma za kijamii. Shule. Zahanati. Maji. Kilimo. N.k.

Tatizo ni CCMScrow kuruhusu watu wake wakaingie mikataba London ndo haya tunayaona.
 
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Messages
1,209
Likes
2,070
Points
280
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2014
1,209 2,070 280
Sasa Kama wachimbaji wadogo hawatanufaika wao ina wauma nini?

Tena JPM akaze Zaidi ili wao wenyewe waondoke tu .

Napenda kushauri, JPM badilisha sharia ya madini ili iwekwe asilimia badala ya mrahaba, iseme hivi, "Kuanzia sasa mwekezaji yeyote wa mgodi wa madini amabaye atawekeza hapa nchini, atalazimika kuchukua asilimia 49 na serikali itachukua asilimia 49, na asilimia 2 zitakuwa za mishahara ya wafanyakazi na uendeshaji.
 
S

stemcell

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Messages
666
Likes
534
Points
180
S

stemcell

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2015
666 534 180
Kawaangalie hawa wachache wakina Zacharia wa Musoma, Baraka wa Geita, Patel wa Nzega, Jose Madawa wa Kishapu na huyo Kishimba mbunge wa Kahama.
Hao siyo wachimbaji wadogo,hao ni wa kati,mchimbaji mdogo anayechimba mwenyewe na kusaga mwenyewe lini atakuwa tajiri?na hata hao uliowataja ni asilimia ngapi?ila naunga mkono mtanzania kunufaika na mali aliyopewa na mungu hata kama ni kidogo.
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,728
Likes
1,588
Points
280
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,728 1,588 280
View attachment 445656
Kupitia kwenye tovuti yao ( COMMENT: Acacia out, artisanal miners will suffer in Tanzania - Canadian Mining Journal) Wanasema maamuzi ya Rais kufuta lesseni ya Acacia yatawafanya wachimbaji wadogo wadogo wateseke.

Hawa watu wanatufanya kama sisi hatuwezi kusimamia maliasili zetu na wanataka watupangie nini cha kufanya na mali zetu naona wana lengo lililojificha.

Nakushauli Mkuu wa nchi utenge fungu maalum kwenye "budget"ya mwaka ujao (2017/2018) ili uchimbaji katika eneo husika ulete manufaa makubwa kwa wachimbaji hao wadogo wadogo na kwa Taifa kwa ujumla ili wapate fundisho kwamba kweli una malengo ya kumkomboa Mtazania mnyonge.

Wanasema hivi nanukuu:

"Tanzanian president John Mafuguli has cancelled a prospecting licence belonging to Acacia Mining, formerly African Barrick. Instead, he told reporters that the artisanal miners would be allowed to stay at the site.

“How do you kick out more than 5,000 people in favour of just one investor?” he was reported to say.

A large part of his thinking may be guided by the fact that his government expects foreign owned mining companies pay more taxes, build local smelters, and list 30% of their shares on the local stock exchange. Acacia does not meet those criteria.

The problem is that those 5,000 artisanal miners will remain at high risk for injury or death in an unregulated workplace. Falls of ground, exposure to toxins, a conscripted workforce, and child labour are some of the perils facing 5,000 people as they scramble over one another to scratch a living out of the dirt.

Barrick knows well the dangers faced by artisanal miners. From the company’s “Beyond Borders” in October 2008:

“At age 13, Alfaxad Chacha started digging. He never stopped. Seven days a week, 14 hours a day, he sifted through the red mud and rock of the Tanzanian landscape under an equatorial sun. With a little luck and a lot of backbreaking labour, Alfaxad and his friends eked out a meagre living on the miniscule bits of gold they uncovered.

“Today, Chacha is 50 years old. He lives in the village of Kerende in Tanzania’s Mara region. A life of digging for gold under the ground has hardened him.

“ ‘I am an artisanal gold miner. I have been all my life and so were my parents before me, but I’m not too proud of what I do’” Chacha says. ‘My work is barely able to support me, my family and my community. It is very hard work for very little money. This is not the life I dreamt of, but it is all I have.’

“Like many others, Chacha spends his days digging, crushing and grinding ore to unlock the small particles of gold it contains. He sells his product for a fraction of its true value to gold dealers who pass through the village. It’s part of an underground gold industry in Tanzania – one with no government regulation or oversight of any kind.

“’I know I put my life at risk, using explosives with no safety equipment. I put my family in danger by exposing them to mercury. I put the land at risk because the sulphates, mercury and arsenic I leave behind destroy our crops and pollute the water,’ Chacha says. ‘But I don’t do this because I want to; I have no choice. I have to make a living and support my family.’ “

If the Tanzanian president believes this type of existence is suitable for his people, he is sadly mistaken.

Acacia’s involvement could provide training, jobs, and social stability to many of the local communities. Instead of nearly starving for endless work, the people could be offered a hand up toward establishing small businesses – those that serve mining, the local agricultural sector and much, much more.

For everyone who needs to refresh their approach to working or interacting with the artisanal and small scale mining sector, we will refer you to the Alliance for Responsible Mining (www.ResponsibleMines.org). This organization has launched an e-learning platform for just that purpose. The central themes are based on the responsible mining practices of the Fairmined Standard, which promotes business development and social and environmental responsibility."

Nawasilisha,

Article.
wana point lakini hatuwezi kuwapa kila kitu na watu wetu wafanye nini. kama ni organisation tunaweza labda hiyo technology. tatizo hata tukiwapa sisi tunapata nini wao wanapata nini hapo ndio shida. ndio mwalimu nyerere alisema bora tusubiri tupaye kwanza elimu maana wakati huo hatukutambua hata tukiibiwa. bora sasa kidogo tumejanjaruka. hata hao artisan miners utaona kuna mitambo baadhi ya kienyeji. ndio tunaendelea hivyo.
 
K

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
588
Likes
122
Points
60
K

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
588 122 60
Hamna mchimbaji mdogo wa dhahabu aliyowahi kutajirika,ila wanapata kipato cha kuwasaidia kimaisha,ni heri mtu apate kidogo kuliko kukaa kijiweni na kuwa ombaomba.
NAUNGA MKONO HOJA
 
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Messages
3,598
Likes
7,073
Points
280
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2012
3,598 7,073 280
Sasa Kama wachimbaji wadogo hawatanufaika wao ina wauma nini?

Tena JPM akaze Zaidi ili wao wenyewe waondoke tu .

Napenda kushauri, JPM badilisha sharia ya madini ili iwekwe asilimia badala ya mrahaba, iseme hivi, "Kuanzia sasa mwekezaji yeyote wa mgodi wa madini amabaye atawekeza hapa nchini, atalazimika kuchukua asilimia 49 na serikali itachukua asilimia 49, na asilimia 2 zitakuwa za mishahara ya wafanyakazi na uendeshaji.
Huna akili
 
K

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
588
Likes
122
Points
60
K

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
588 122 60
View attachment 445656
Kupitia kwenye tovuti yao ( COMMENT: Acacia out, artisanal miners will suffer in Tanzania - Canadian Mining Journal) Wanasema maamuzi ya Rais kufuta lesseni ya Acacia yatawafanya wachimbaji wadogo wadogo wateseke.

Hawa watu wanatufanya kama sisi hatuwezi kusimamia maliasili zetu na wanataka watupangie nini cha kufanya na mali zetu naona wana lengo lililojificha.

Nakushauli Mkuu wa nchi utenge fungu maalum kwenye "budget"ya mwaka ujao (2017/2018) ili uchimbaji katika eneo husika ulete manufaa makubwa kwa wachimbaji hao wadogo wadogo na kwa Taifa kwa ujumla ili wapate fundisho kwamba kweli una malengo ya kumkomboa Mtazania mnyonge.

Wanasema hivi nanukuu:

"Tanzanian president John Mafuguli has cancelled a prospecting licence belonging to Acacia Mining, formerly African Barrick. Instead, he told reporters that the artisanal miners would be allowed to stay at the site.

“How do you kick out more than 5,000 people in favour of just one investor?” he was reported to say.

A large part of his thinking may be guided by the fact that his government expects foreign owned mining companies pay more taxes, build local smelters, and list 30% of their shares on the local stock exchange. Acacia does not meet those criteria.

The problem is that those 5,000 artisanal miners will remain at high risk for injury or death in an unregulated workplace. Falls of ground, exposure to toxins, a conscripted workforce, and child labour are some of the perils facing 5,000 people as they scramble over one another to scratch a living out of the dirt.

Barrick knows well the dangers faced by artisanal miners. From the company’s “Beyond Borders” in October 2008:

“At age 13, Alfaxad Chacha started digging. He never stopped. Seven days a week, 14 hours a day, he sifted through the red mud and rock of the Tanzanian landscape under an equatorial sun. With a little luck and a lot of backbreaking labour, Alfaxad and his friends eked out a meagre living on the miniscule bits of gold they uncovered.

“Today, Chacha is 50 years old. He lives in the village of Kerende in Tanzania’s Mara region. A life of digging for gold under the ground has hardened him.

“ ‘I am an artisanal gold miner. I have been all my life and so were my parents before me, but I’m not too proud of what I do’” Chacha says. ‘My work is barely able to support me, my family and my community. It is very hard work for very little money. This is not the life I dreamt of, but it is all I have.’

“Like many others, Chacha spends his days digging, crushing and grinding ore to unlock the small particles of gold it contains. He sells his product for a fraction of its true value to gold dealers who pass through the village. It’s part of an underground gold industry in Tanzania – one with no government regulation or oversight of any kind.

“’I know I put my life at risk, using explosives with no safety equipment. I put my family in danger by exposing them to mercury. I put the land at risk because the sulphates, mercury and arsenic I leave behind destroy our crops and pollute the water,’ Chacha says. ‘But I don’t do this because I want to; I have no choice. I have to make a living and support my family.’ “

If the Tanzanian president believes this type of existence is suitable for his people, he is sadly mistaken.

Acacia’s involvement could provide training, jobs, and social stability to many of the local communities. Instead of nearly starving for endless work, the people could be offered a hand up toward establishing small businesses – those that serve mining, the local agricultural sector and much, much more.

For everyone who needs to refresh their approach to working or interacting with the artisanal and small scale mining sector, we will refer you to the Alliance for Responsible Mining (www.ResponsibleMines.org). This organization has launched an e-learning platform for just that purpose. The central themes are based on the responsible mining practices of the Fairmined Standard, which promotes business development and social and environmental responsibility."

Nawasilisha,

Article.
BRAVO TO MR. PRESIDENT MAGUFULI, BECAUSE OUR COUNTRY BEFORE THE ECONOMY WAS OWNED BY FEW INDIVIVIDUAL INTERNATIONAL PRIVATE COMPANIES WHEREBY ALL THE PROFIT WAS BEING TRANSFERRED TO THEIR COUNTRIES OF THEIR ORIGIN, BUT TODAY THESE FOREIGN INTERNATIONAL COMPANIES HAVE BEEN FORCED TO ISSUES IPO TO DSE WHICH IS GOOD SO THAT EACH TANZANIA CAN HAVE OWNERSHIP ON THOSE COMPANIES AND BE ABLE TO RECEIVE DIVIDENDS...BRAVO MR. PRESIDENT MAGUFULI I LOVED THIS ARTICLE.
 
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
3,974
Likes
1,454
Points
280
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
3,974 1,454 280
Sasa Kama wachimbaji wadogo hawatanufaika wao ina wauma nini?

Tena JPM akaze Zaidi ili wao wenyewe waondoke tu .

Napenda kushauri, JPM badilisha sharia ya madini ili iwekwe asilimia badala ya mrahaba, iseme hivi, "Kuanzia sasa mwekezaji yeyote wa mgodi wa madini amabaye atawekeza hapa nchini, atalazimika kuchukua asilimia 49 na serikali itachukua asilimia 49, na asilimia 2 zitakuwa za mishahara ya wafanyakazi na uendeshaji.
Usimtie mwenzio chaka kwa kutafuta sifa za kijinga, je alishawahi kuwa hata na kiwanda cha makoroboi kikafanikiwa? Ili ashauri na kuelekeza wachimbaji? Mnaambiwa ukweli matamko na jazba hazita waondolea umaskini shirikianeni na watu wenye weledi mwende mbio. Hata uko asia ni wazungu ndio waliopeleka technology.
 
Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607