Canada yaungana na Marekani na Uingereza kuelezea wasiwasi wao juu ya kuzorota kwa Haki za raia Nchini

B

bababikko

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
2,271
Points
2,000
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
2,271 2,000
Chuki ni mbaya mno inamtafuna anayeibeba. Acha chuki ndugu ukaishi
mkiambiwa ukweli mnasema chuki
Chuki ni mbaya mno inamtafuna anayeibeba. Acha chuki ndugu ukaishi
mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema chuki,hata mkiniua au mkatumaliza wote bado mawe yatainuka kusema muuaji mwingine jana kakata kamba yuko mortuary nyie mtaishi milele?
 
gwakipanga

gwakipanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2011
Messages
575
Points
250
gwakipanga

gwakipanga

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2011
575 250
Sijui haki zipi za binadau zinazo zidi zile za kuwaachanicha watoto na wazazi wao, inawakamata wazaz,i watoto wanateseka mko kimya kama hamjui kinachoendele marekani. Mbona amtuambia kuhusu marekati kuwatesa watoto kwa makosa ya wazazi wao.
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
4,902
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
4,902 2,000
WAMECHANGANYIKIWA TEUZI ZINA MA.DK WA.KUTOSHAA WNAOGOPA WATASHIMDWA KUFANYAYAO WALIYOZEA
 
Mbase1970

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
5,407
Points
2,000
Mbase1970

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
5,407 2,000
kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaa
Hawa watu walikua hivyo wakati Kagame anaijenga nchi yake. Leo wapo wapi tena walianza mpaka kuwashitaki baadhi ya viongozi. Kelele za chura hizo
 
Mbase1970

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
5,407
Points
2,000
Mbase1970

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
5,407 2,000
kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaa
Mmesahau 2016 kuhusu Zanzibar kelele zilikua zaidi ya hizi
 
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
3,516
Points
2,000
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
3,516 2,000
Kutawaliwa ni shida sana, hivi tumefikia hatua tumeshindwa kujisemea au tumesema sana tukachoka. Huwa nasema zamani wazungu waliweza kuuondoa utawala dhalimu madarakani, siku hizi wanshindwaje?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
116,157
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
116,157 2,000
Kutawaliwa ni shida sana, hivi tumefikia hatua tumeshindwa kujisemea au tumesema sana tukachoka. Huwa nasema zamani wazungu waliweza kuuondoa utawala dhalimu madarakani, siku hizi wanshindwaje?
USA
Britain
Denmark
Norway
Canada
Next ?
 
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
3,516
Points
2,000
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
3,516 2,000
USA
Britain
Denmark
Norway
Canada
Next ?
Kwa nchi hizi zetu, hata mabalozi wote wangeungana, hakuna effect yoyote. Ila wange ungana KUZUIA KUTOA MISAADA hapo ningewaunga mkono hata mimi, kwasababu watawala wao wanachojali ni PESA. Hizo wakinyimwa utawasikia wote wametoka nje kusikia kulikoni, lakini kelele tu bila mbinyo wa pesa yani kwao ni singeli.
 
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
1,147
Points
2,000
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
1,147 2,000
Usitulishe matangopori,njoo na real data utueleze contribution ya madini yetu kwenye uchumi wao;Obama alishwaulizwa swali Ghana alipoitembelea Africa kuhusu nchi za magharibi hasa marekani zinavyoinyonya Africa kibiashara;ilibidi Obama ashangae,na akasema kwa data kabisa kwamba biashara inayofanywa na wao na Africa ni ndogo mnoo mnoo na haina mchango wa maana kwenye chumi zao;wao wanafanya biashara sana Asia na hata ukiangalia bidhaa za wazungu tu bongo ni za kuhesabu;hata kama tunalalamika kunyonywa bora uwataje wachina manake ndo tunapigana nao vikumbo mpaka kariakoo
Mbumbumbu huwa hawajui hii kitu japo wapo wanaojua na kujifanya hawajui kwa interests za kisiasa, biashara zetu(Africa) na developed countries zina impact ndogo sana kwenye uchumi wao.
 
MTV MBONGO

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
1,038
Points
2,000
MTV MBONGO

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
1,038 2,000
Huku ni kuingilia haki na mambo yetu. Kama mwandishi kakosea, mwacheni achukuliwe hatua
 
I

ikamama

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
200
Points
250
I

ikamama

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2017
200 250
kabudi and so on,kipilimba and the likes mnajiona wababe na mnamshauri vibaya jiwe:nchi haiwezi kutoboa sijui nchi ya viwanda hata mandege yenu mtaambulia hasara tu.jiwe kashindwa kuuza korosho alizodhulumu wakulima kusini kwa wivu kwamba wafanyabiashara wanapata sana kiko wapi leo?tumekosa forex tumeumiza wakulima tumeumiza wafanya biashara mabenki nk, mpo kwa ajili ya wananchi kweli?acheni kubinya uhuru wa kujieleza kama katiba mliyoapa inavyosema 'Angalizo watu wataendelea kusema na kukosoa kadri mnavyotenda vibaya mkitenda vizuri hwatu watasifu bila kulazimishwa wala hatutakiwi kulazimishwa na mtu yoyote hadi wengine wanataka watuchome sindano za vichaa
Lack of exposure ni kitu kibaya sana miaka 4 zimeisha bado sita na hiyo mitano hakika itakuwa highly contested watu hawataambiwa cha kufanya kwa ajili ya kuwa na hasira na korosho zao, mbaazi yao, kumbukumbu za kutekwa na kuteswa wanachi, upendeleo kwa baadhi za jamii, kuzorota kwa biashara etc
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
3,269
Points
2,000
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
3,269 2,000
Watuwekee tu vikwazo.kwa swala la haki wako sahihi imezorota sana, haki wanapata maccm zaidi, na uwe mwanaccm wa mteule au ccm mpya.
 
M

Mamishale

Senior Member
Joined
May 23, 2019
Messages
191
Points
225
M

Mamishale

Senior Member
Joined May 23, 2019
191 225
Wazee wa miaka ya 60 na 70 ndio mmetufikisha hapa
Pichani ni Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Tinde, Josephine Otieno (AMO) ambaye ameshurutishwa kupiga magoti na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa, ili kumuomba msamaha Mbunge wa jimbo la Solwa, Ahmed Salim kwa niaba ya watumishi wa kituo chake ambao wanatuhumiwa kutoa lugha chafu za kashfa na matusi kwa wagonjwa.

KWA NINI NASEMA HUU NI UDHALILISHAJI?

DHAMBI moja haihalalilishi DHAMBI nyingine na wala kosa moja halihalalishi kosa lingine. Binafsi napinga na kulaani vitendo vya baadhi ya Watumishi wa afya kuwakashifu, kuwatukana na kuwadhalilisha wagonjwa. Vitendo hivi vinafaa kushughulikiwa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria.

Watumishi wa afya wana mwajiri na mamlaka ya kinidhamu ya kuwashughulikia. Alichofanya huyu Mwenyekiti wa CCM ni udhalilishaji. Ameidhalilisha taaluma ya udaktari, amewadhalilisha Watumishi wa idara ya Afya, amemdhalilisha huyu mwanamke. Hii sio sawa hata kidogo.

Wanasiasa wa nchi hii wamejawa na kasumba ya ulimbukeni, kibri na dharau dhidi ya Watumishi wa umma. Hii si mara ya kwanza udhalilishaji kama huu kufanyika hadharani.

Nani hakumbuki tukio la Mkuu wa Wilaya kuamuru Walimu wacharazwe viboko hadharani na kweli Walimu kwa HOFU na UOGA wakasalimu amri na kucharazwa bakora tena mbele ya wanafunzi. Yule DC alifanywa nini? Hakuna!

Nani hakumbuki kitendo cha yule Diwani kule Tanga alivyomdhalilisha Mwalimu. Mwalimu kasaini kitabu cha mahudhurio saa 6.45 A.M. Diwani anamuuliza Mwalimu umeripoti kazini saa ngapi, Mwalimu kamjibu saa moja kasorobo. Diwani anamwambia Mwalimu wewe nakuona una kiburi na jeuri kwa nini unanidanganya wakati kwenye kitabu umesaini saa kumi na mbili na dakika arobaini na tano. Anaanza kumtisha Mwalimu na kumuambia atatoa amri aondolewe kwenye halmashauri yake.

Nani hakumbuki sakata la udhalilishaji Ali Hapi aliomfanyia yule mama wa idara ya Ardhi, akimtisha tena mbele ya umma kwamba yeye ni mtu hatari sana. Hivi unategemea nini mfanyakazi anapotishwa na Mkuu wa mkoa?

Nani hakumbuki Bashite akiwatisha Walimu kuwa kama wangedhubutu kunyanyua mabango ya kudai nyongeza ya mshahara, kupandishwa madaraja na malimbikizo ya madeni yao angewacharaza viboko Walimu hadharani pale pale uwanjani. Yani mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anapata ujasiri wa kuwatisha na kuwanyamazisha Walimu kwa sababu tu yeye ni mwana CCM mwenye madaraka ya uongozi. Kwake anaona taaluma za watu si chochote wala lolote.

Mambo mengi ya kitaaluma kwa sasa yanakabiliwa na shinikizo la wanasiasa wa CCM wanaotaka kumfurahisha mwenyekiti wao wa CCM.

Wafanyakazi wamebaki kama mayatima hakuna wa kuwasemea. Wamejawa HOFU na UOGA, kila mwanasiasa anayezuru eneo lao la kazi anakuja na vitisho na maagizo ya kipuuzi. Udhalilishwaji umekuwa sehemu ya maisha ya Wafanyakazi.

Hata kama tuhuma zilizotolewa ni za kweli. Tujiulize je Mwenyekiti wa CCM ndizo mamlaka za kinidhamu za kuwawajibisha Watumishi wa idara ya Afya?

Je adhabu ile ndio iliyoainisha kwenye kanuni za utumishi wa umma? Kwamba washurutishwe kupiga magoti kwenye mkutano wa hadhara wa CCM na kuomba msamaha?

Hivi Wafanyakazi wa nchi hii wameikosea nini serikali hii ya CCM? Kuwapandisha mishahara na madaraja imeshindikana wamekaa kimya wameamua kufa kwa njaa kimya kimya kama wafuasi wa Kibwetere. Hiyo haitoshi bado mnaamua kuwadhalilisha kwa nini?

Maeneo mengine Walimu wanashurutishwa kufundisha hadi weekend, hakuna likizo. Naibu Waziri anasema amesitisha uhamisho mwalimu asijisumbue kuomba uhamisho. Hii maana yake nini?

NANI WA KULAUMIWA?

Wa kwanza anayestahili kidole cha lawama ni hivi vyama vya Wafanyakazi. Tuna vyama vya Wafanyakazi vya hovyo haijawahi kutokea Duniani. Madaktari na wauguzi wanadhalilishwa chama cha Madaktari na kile cha Watumishi wa afya kipo kipo tu. Walimu wanacharazwa bakora hadharani, chama cha Walimu (CWT) kipo tu kinakula asilimia za mishahara ya Walimu kila mwezi.

Pili ni serikali ya CCM. Wanasiasa wa CCM Mpya wanadharau na kupuuza taaluma za watu. Yani Diwani au Mwenyekiti wa CCM ambaye anajua tu kusoma na kuandika kwa tabu ana ujasiri, dharau na kiburi cha kudhubutu kumdhalilisha Mwalimu, Daktari, Muuguzi, Injinia au Muhasibu mwenye vyeti vyake. Huu ni upuuzi ambao ukifumbiwa macho siasa itazidi kuangamiza elimu, idara ya afya n.k. Tujifunze kuheshimu taaluma za watu. Penye makosa watu wawajibishwe na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria, taratibu na kanuni. Acheni mizuka, nchi hii mnaipeleka korongoni kwa sababu mnaendesha nchi kwa mizuka. Lazima kuwe na clear line inayotenganisha mpaka wa siasa na taaluma.

Mwisho nimnyooshee kidole cha lawama huyu Daktari na Watumishi wengine wengi wanaokubali kuweka kando taaluma zao na kudhalilishwa na wanasiasa hawa uchwara. Wafanyakazi mna haki zenu, zipo Sheria za kuwalinda acheni kujidhalilisha, kataeni kudhalilishwa. Hivi kwani huyu Daktari angedinda kupiga magoti hapo huyo Mwenyekiti wa CCM angemfanya nini? Ana jeuri ya kumfuta kazi kwa Sheria ipi na kwa mamlaka gani?

Aidha nanyi ndugu zetu baadhi ya Madaktari, wauguzi n.k. Chonde chonde kazi hii ni wito tunapokuja hospitalini hebu kuweni na UTU, hekima, adabu na busara. Wapo Watumishi wa afya wanaofanya kazi hii kwa weledi, wito, hekima na upendo mkubwa. Lakini baadhi yenu hata mgonjwa usipokuwa na uvumilivu unaweza ukamchapa nesi makofi, mnakuwa na kiburi na dharau utadhani mmelazimishiwa kazi. Badilikeni hii kazi ni zaidi ya utume.

Nanyi wanasiasa kama mwanataaluma anatuhumiwa, mpelekeni kwenye mamlaka za kinidhamu kwa kuzingatia taratibu, Sheria na kanuni akawajibishwe kwa mujibu wa Sheria pasipo kudhalilishwa.
 

Forum statistics

Threads 1,326,252
Members 509,458
Posts 32,215,859
Top