CANADA: Hali ya hatari yatangazwa katika jiji la Montreal

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Hali ya hatari yatangazwa katika jiji la Montreal baada ya jiji hilo kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa pamoja na kuyeyuka kwa barafu.

Mpaka sasa takribani makazi ya watu yapatayo 1,900 yamekumbwa na kadhia hii.

======
A state of emergency has been declared in the Canadian city of Montreal due to flooding caused by torrential rains and melting snow.

The measure was declared on Sunday afternoon and will remain in place for 48 hours, city officials said.

Across the province of Quebec, in Canada's east, nearly 1,900 homes have already been flooded across 126 towns and cities, authorities say.

Some 1,200 troops have reportedly been deployed to help evacuate people.

"Our troops are responding quickly and professionally and are already beginning to deliver critical support to Canadians affected by the flooding," Defence Minister Harjit Sajjan said.

The emergency was declared in Montreal after three dikes gave way in the city's north.

The town of Rigaud, west of Montreal, has been particularly hard hit and a state of emergency has also been declared there.

The mayor has ordered mandatory evacuations in flood zones.

"People had to be evacuated, and we put them in boats and they are crying like babies," said Mayor Hans Gruenwald Jr.

"I am sorry, they are at a point where now they are not in a position to decide anymore their own future."

_95963377_quebecfloods2.jpg

The flooding is not limited to Quebec, and unusually high rainfall has also caused flooding in the province of Ontario.

Lake Ontario has reached a water level not seen since 1993 in southern Ontario, the Canadian Press news agency says.

Warmer temperatures has also caused snow to melt in British Columbia in Canada's west, combining with the rain to cause flooding and mudslides.
 
safi sana, waacheni na wao waonje joto la jiwe.
 
Una quote post yote hiyo yanin?

Hujui unawasumbua wanaotumia simu?

Una quote halafu unaandika vijimstari viwili tu,nyie watu nu shida sana...
Alafu alichokiandika sasa,jamaa anafurahia...Aisee
 
Yani jf mtu anaamua kujitoa akili tu...
Eeh Mungu wape faraja waja wako na walinde na madhila ya mafuriko haya.Nakumbuka wiki mbili zilizopita nilikuwa mitaa hiyo,Jua,Mvua na barafu vilibadilishana.Sasa hili la mafuriko limechukua taswira mpya.Mitaa ya Quebec,ontario,manitoba,skaskatchewan,Alberta na BC(Trans-canada) Kutoka mashariki hadi magharibi) yote niliipita na kote nimekutana na watu wakarimu.Eeh muumba wangu, wafanyie wepesi jambo kwa kukumbuka ukarimu wao kwangu.Nawaombea nusura kutoka kwako Mola wetu,Amen!
 
Trump si anabisha kwamba hakuna global warming. Anadhani madhila yatazikumba africa, marekani kubaki safe.
 
Eeh Mungu wape faraja waja wako na walinde na madhila ya mafuriko haya.Nakumbuka wiki mbili zilizopita nilikuwa mitaa hiyo,Jua,Mvua na barafu vilibadilishana.Sasa hili la mafuriko limechukua taswira mpya.Mitaa ya Quebec,ontario,manitoba,skaskatchewan,Alberta na BC(Trans-canada) Kutoka mashariki hadi magharibi) yote niliipita na kote nimekutana na watu wakarimu.Eeh muumba wangu, wafanyie wepesi jambo kwa kukumbuka ukarimu wao kwangu.Nawaombea nusura kutoka kwako Mola wetu,Amen!
Amen
 
mkuu, hongera. watu wenye hekima kama wewe wamebaki wachache. God bless
 
Pole yao kwa kukumbwa nna mafuriko
waambie Tanzania nako leo tumelala mvua
zikinyesha usiku kucha.
 
Pole zao, at least they have better resources in place, kukabili hali kama hizi vizuri.
 
mkuu, hongera. watu wenye hekima kama wewe wamebaki wachache. God bless
Nashukuru,Tuombe mwenyezi atujalie wote hekima na busara ya kiwango cha juu sisi wote ili dunia iwe mahala bora pa kuishi na kufaidika hadi tunaiondoka.Kama kweli unaupa ubongo kusimama na kufikiri kidogo na kujikumbusha hili linalowafika huko Canada sasa lingetokea wakati nipo tena ktk hayo maeneo hata kulala nilala unafikiri ningekuwa na hali gani?Sasa ukipata picha mungu amenipendelea na ninamshukuru sana tena sana, naomba basi awapendelee na ambao bado wapo Canada na awaepushe na madhila ya mafuriko kama alivyoniepusha mimi,ninaomba haya Mola wangu kwako na ninajua unasikia na ni mwenye huruma,Basi sikia na vilio vya waja wako wanapokabili janga hili,Amen!
 
Back
Top Bottom