CAN YOU MAINTAIN CONFIDENTIALITIES IN THESE LIES in MARRIAGES? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CAN YOU MAINTAIN CONFIDENTIALITIES IN THESE LIES in MARRIAGES?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Dec 18, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mf no. 01:baada ya miaka saba ya ndoa iliyo na kila aina ya furaha MWANAMKE unagundua kwamba mumeo aliwahi kuoa kipindi cha nyuma kidogo na ana watoto watatu wakubwa tu!kibaya ni kwamba amekuwa akikuficha kwa muda wote wa maisha yenu ya mapenzi.mwisho wa kitu mambo yameharibika anakuomba UENDELEE KUIFANYA CONFIDENTIAL!

  what will be your response?


  mf no.02:baada ya miaka ishirini ya ndoa MWANAUME unagundua kwamba watoto wanne ulio zaa na mkeo SIO WAKO!hili linawekwa wazi baada ya baba mwenye watoto kujitokeza hadharani na kudai wanae.unapojaribu kumdadisi mkeo anasisitiza kwamba ni kweli,lakini aliamua kufanya hivyo kwa sababu aligundua kuwa wewe mwanaume huna uwezo wa kumzalisha.baaada ya malumbano ya muda kidogo mwanamke anasema ''NA TUIFANYE HABARI HII CONFIDENTIAL ILI TUINUSURU NDOA YETU''

  mf no.03:baada ya miaka saba ya ndoa MWANAMKE unagundua kwamba mumeo ni SHOGA!pamoja na furaha yote mliyonayo,ukiligundua hili,mumeo anaamua kuweka wazi kwamba huo ndio mchezo wake na hawezi kukaa hata wiki mbili BILA KUPIGWA BOMBA!unalia kwa muda mrefu sana halafu mwishoni anakuomba IWE SIRI

  mf no.04:katikati ya maisha yenu ya ndoa inatokea kwamba mkeo anabakwa mbele ya macho yako na wahuni/wezi/majambazi.hili nalo unaweza kukaa nalo moyoni kwa muda gani?(okay,hili linaweza kuwa si lies)


  karibuni tujadili
   
 2. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Geoff, kama yametokea ndio yameshatokea na maisha yanatakiwa kuendelea hakuna muda wa kuanza kuhojiana kwani mwisho wa siku hakuna kitakachobadilika zaidi ya kujipa stress..Unahesabu kuwa ihayo yote yamekula kwako unajipanga kwa mapya. Kwisha kazi!!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo utamaintain CONFIDENTIALITY?WEWE KAMA WEWE....
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huu mfano wa 03 ni kiboko, inauma sana....m/mume kumla mkewe wakati na yeye anamegwa na jamaa fulani afu kwa bahati mbaya jamaa anaye mmega mkewe ndiye anaye mmega na mumewe..teh teh teh...

  kwa suala la kubakwa Mungu aepushie mbali, watu waliowengi wanasema ni heri wakuue kabisa lakini machungu ya kumegewa mkeo hayatatoka maishani mwako kamwe....
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh, ningekuwa mwanamke, ningemsamehe lakini nisingekubali iwe confidential maana watoto wanahitaji mapenzi na kujua wazazi wao hata kama hawaishi nao


  MH, 20 years is too long, hii ntakubaliana naye maana muda umepita sana

  Huyu ni wa kumuacha tu maana kuna kila mkosi hapo

  Hii itabidi tu umezee na mpate proper support ya kisaikolojia
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nothing to do!

  Kwa situation kama hii, ni bora mwanamke akaendelea kuwa silent, ili kufanya ndoa yao iendelee, ambapo kinyume na hapo, ndoa hiyo itaingia migiogoro isiyoisha, na kuna hatari ikawa ndo hatima ya ndoa hiyo!

  Lakini kuna vitu vya kuangalia hapa:Je huyu mwanaume alikuwa anaigharamia ilke familia toka zamani, au baada ya kuharibika mambo ndo anatakiwa aanze kuigharamia?..

  Kama anatakiwa aanze sasa, basi jua hapo ishu itakuwa kubwa...lakini kama alikuwa akifanya hivyo toka awali. basi itabidi aendelee, na mwanamke huyo awe mpole tu.

  Thats my take for no.1
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Nitakaa kimya...hii ni confidentility?? If need be nitakyeona anastahili kujua nitamwambia otherwise sitapoteza muda sana kwenye hayo madudu!!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  thanks!
  sasa vipi,do we need cofidentialities in marriages?
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  linapotokea hili mwanamke afanyeje?akae kimya?...(j.k aliwahi kusema kwenye hotuba zake MLA HULIWA:D)


  sasa ninaomba unijibu swali la msingi,AKAE KIMYA?
   
 10. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Geoff bwana eh.... ah hayo mambo mbona makubwa tu Mungu atuepueshie yote...kwanini kuwa na siri kama hizo za watoto???? i thought ndoa means openness and honesty!!! ya ushoga hiyo ni tabia chafu hata nikikuwekea siri nitakuacha tu!!!
  kubakwa...ewe mungu tunusuru!!!

  Tena leo friday jamani mbona umetumalizia wiki kihivi....ngoja wapwa wafike!
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Na hii wakuu uzalendo lazima ukishinde na utaamua kutema tu kilichopo rohoni ukibaki kimyaa utaendelea kuumia.
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  pole sana shishi!

  unajua kuishi nikuona mengi,nilikutana na mzozo mkali sana wa familia moja kuhusu huo mfano wa tatu.wapambe wanalazimisha MUWE NA SIRI KWENYE NDOA ZENU:D
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...binafsi, maintaining confidentiality kwenye maskendeli kama haya sio muhimu sana kama maintaining trust.

  Siri gani hiyo ilhali mtu keshavunja Uaminifu wake kwako?

  ...ungeongeza kuwakwaza kwa kuandika; 'Mume kulawitiwa mbele ya mkewe/familia'.

  Anyway, hilo ni janga lenu wote, kwani mume ukiwa mlinzi wa familia pia ulitakiwa umlinde mkeo kwa hali yeyote hata kama itabidi kupoteza uhai wako. Binafsi, jambo hilo litadumu moyoni milele...
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hilo no 3 nahic ctaweza kulivumilia...mhh ngumu sana kwa upande wangu.
   
Loading...