Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,268
- 33,040
UNAWEZA KUTAFUTA MAKOSA YOYOTE HAPA CHINI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNAWEZA KUTAFUTA MAKOSA YOYOTE HAPA CHINI?
anaweza kuwa nani mkuu hata mi nimepata shaka kidogo hapo..huyu nambari mbili ni zebra kweli!
Mkuu.@=aikaruwa1983 Chui mwenye Rngi ya pundamilia ndio maana jirani yake anashangaa kumuona chui aliyevaa ngozi ya pundamilia.huyu nambari mbili ni zebra kweli!
Mkuu.@=aikaruwa1983 Chui mwenye Rngi ya pundamilia ndio maana jirani yake anashangaa kumuona chui aliyevaa ngozi ya pundamilia.
mmmh haka kapicha kam kanaingia kwenye ukweli wa selekale yetu au hisia zangu tuu...Mkuu.@=aikaruwa1983 Chui mwenye Rngi ya pundamilia ndio maana jirani yake anashangaa kumuona chui aliyevaa ngozi ya pundamilia.
alafu inaonyesha huyu chita ana asili ya kichinaNamba Mbili ni cheetah
Namba Mbili ni cheetah
alafu inaonyesha huyu chita ana asili ya kichina
Namba 2 sura sio pundamilia ni cheetah/chui na number 5 hana miguu ya mbele
Mkuu.@=aikaruwa1983 Chui mwenye Rngi ya pundamilia ndio maana jirani yake anashangaa kumuona chui aliyevaa ngozi ya pundamilia.
huyo namba mbili ni simba.......