Can she make it?

safariwafungo

Senior Member
Apr 26, 2008
116
51
We have plenty of Confidence in this country, but we are a little short of good men to place our Confidence in". Will Makinda make it as a next Tanzania Speaker of the parliament?

i hope jazba hazitokuwepo kwenye michango yetu,
Karibu!
 
Wanawake wanaweza,ni kweli,lakini sio anna makinda,tunamfahamu vizuri.sisiem tumeingia choo cha kike.alikua naibu tu,lakini tuliona alivyokua mkali,mkatili,mkorofi,mwoga wa hoja,anayetumia mabavu na si kanuni.Tulihitaji spika mwenye uwezo wa kupambanua mambo,suala si kuzima hoja bungeni,ni kupambanua ili kupata michango,maoni na ubaya wa hoja.kitakachotokea ni kuzimwa hoja na wabunge kujikuta hawana cha kujadili bungeni.Anna makinda hapaswi kufurahi kwa kuteuliwa kwake,ajue kwamba anakwenda kuwa kichekesho ktk kile kiti cha enzi.
 
Juu ya huyu mama mkwe wetu haiitaji hata darubini kugundua uwezo wake katika hili.Spika ni mtu anayetakiwa awe na busara,hekima,ufahamu mkubwa wa sheria na katiba ya nchi zaidi ya yote awe na uwezo wa kutoa maamuzi kwa haraka na kwa uhakika bila ya upendeleo.So inabidi tumpime katika haya huyu mama yetu.
 
wanasema, kiongozi awe mtu mwenye familia ili apate busara na uzoefu nyumbani. huyu nungayembe atapata wapi busara????????
 
Kwa nini asiweze? nakumbuka aliwahi kuwa naibu spika wakati fulani kwa hiyo hii sio mara yake ya kwanza...Swali la kujiuliza - Atasimamia maslahi ya kina nani?...
 
Maslahi ya Mafisadi

kwa hili sisem hawana aibu eti tunataka ku empower wanawake

Thubutuuuu uphewwwwwwwwww!!!! wamenikera sana
 
naambiwa hajawahi kuw hata na boy friend. Atakuwa hamaphrodiete au jamii ya amoeba
 
thubutu, ningekuwekea list hapa ila nitapigwa ban na ni kinyume cha utaratibu wa Great thinkers at jf " kudiskas maisha binafsi"
 
Back
Top Bottom