Can NEC be sued for vote rigging architect? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can NEC be sued for vote rigging architect?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by NewDawnTz, Nov 20, 2010.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dear Lawyers in JF,

  We all know that, once declared as a winner by the National Electoral Committee, there is no possibility to file a case against president on any issue regarding to violation of election procedures whatsoever.

  However, there are many incidences everyone is familiar with proving that there had been some irregularities in the election process which simply means violation of Election Laws and other procedures

  My question here is, regardless who is the architect of vote rigging (kuchakachua), is there no any legal possibility to sue the National Electoral Committee for ‘spearheading’ presidential and wabunges vote rigging??

  If any, can’t CHADEMA take this as a starting point to deal with dirty game called Uchakachuaji by suing NEC and demand for a NEC that composed of members not president appointees? If this possible, may be this will serve a great deal than just talking ‘gibberish’ and murmur

  Dealing with a person (say JK or any other) will not help much than dealing with institution (NEC) which in a ‘dark’, but easy to be seen, way has makusudi-kaly failed to impede vote rigging.

  If a case is filed, am sure many people will come with many evidences linking NEC with vote rigging and deal with a root of the problem.

  Please help me, and other JF members, about this matter
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I am not a lawyer but by examining the relevant section of the constitution, it appears to me that all avenues of seeking a legal redress on this matter are closed because the law says once NEC announces the winner of the presidential race, no court is allowed to open up an inquiry on that matter. Given this position of the law it would be next to imposible to sue NEC as doing so, tantamounts to opening up an inquiry on presindential race contrary to article 41(7) of the constitution.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  The otherside of the coin .How about constitutional challenge on the legality of the this controvesial provision?
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Hicho kifungu cha 41(7) cha katiba kinatafsiriwa vibaya; kifungu kile kinasema hivi:
  Kuna vitu viwili hapo ambavyo watu wanaotafsiri kifungu hicho wanashindwa kuviona. Kifungu hicho kinataka tume imtangaze mtu kuwa amechaguliwa kwa mujibu wa Ibara ya 41 ambayo pamoja na mambo mengine ni kuwa lazima awe amewashinda wagombea wengine kwaa kupata kura nyingi. Tume haiwezi kumtangaza mshindi wa pili kuwa mshindi halafu eti taifa linyamaze, vile vile tume haiwezi kumtangaza mtu kuwa mshindi kwa kutumia kura ambazo hakupata halafu eti taifa linyamaze; kwa mfano Kichuguu akipata kura kumi, tume haiwezi kutangaza kuwa kichuguu kapata kura milioni kumi kwa hiyo takuwa rais, halafu taifa linyamaze.

  kifungu hicho hakizuii mahakama kuskiliza kesi zinazohuzu malalamiko ya uchaguzi. Kifungu kinazuia mahakama kuchunguza kuchaguliwa kwa rais. Kusikiliza malalamiko hakuna maana ya kuchunguza. Mlalamikaji ndiye anatakiwa kuchunguza, mahakama itasikiliza facts tu.
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kichuguu nashukuru kwa haya maelezo maana siku zote hili jambo liliikuwa likinichanganya si kidogo!
   
 6. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni sawa katika hali halisi tume kwa mujibu wa kifungu hicho inalazika kumtaja yule tu aliyeshinda, lakini hata ikimtangaza aliyeshindwa kuwa mshindi bado kifungu hicho kinaipa tume kinga ya kutoshitakiwa. Kuhusu kufungua kesi ya kikatiba' kwangu mimi naona hilo linawezekana kwasababu kifungu hicho kinapingana na kifungu cha 13(6)(a) ambacho pamoja na mambo mengine kinataka chombo chochote chenye mamlaka ya kushughulikia haki za watu kitoe fursa ya mtu kusikilizwa na kukata rufaa ikibidi. Hata hivyo kulingana na hukumu ya mahakama ya rufani kwa suala la mgombea binafsi inaonekana mahakama imekwisha nawa mikono kwa masuala yonayohusu katiba.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Inawezekana katika International Courts ,iwapo mawakili wa vyama watashirikiana na mawakili wa bure ambao wanapatikana katika nchi za ulaya ,hapa inashitakiwa Tume au Serikali iliyopita ambayo iliongozwa na Jk.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hii ndo safi waje wamtie kibindo mkwere akajibu mashtaki
   
Loading...