Can marry a guy who lives in a face me I face you?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
Can u marry a guy in one room? I meant face me I face u room. kitchen,toilet n bathroom outside?
 
Kwa lugha ya taifa ya tanzania unamaanishaje
kiingerza shida sana ukizoea kutafasiri neno moja moja
Yaani jamaa anaeishi kwenye chumba kimoja nyumba ya vyumba sita, ajifungulie mlango anakutana na uso wa jirani yake upande wa pili.

Kiko na choo viko nje, unaweza kukubali kuolewa katika hali hiyo?
 
Yaani jamaa anaeishi kwenye chumba kimoja nyumba ya vyumba sita, ajifungulie mlango anakutana na uso wa jirani yake upande wa pili.

Kiko na choo viko nje, unaweza kukubali kuolewa katika hali hiyo?
haya Sawa
lakini siku nyingine usicopy ulichoandika
ukapaste google mkalimani
ukacopy tena toka google mkalimani
Ukapaste then Ukapost hapa
utaleta taharuki kubwa
 
Ingilishi yako asee!

Ungeandika kwa kiswahili ungepungukiwa nini? Maana hapa kwa kiingeleza tumeona umepungukiwa kitu wenyewe wanaita grammar!
 
Back
Top Bottom