Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Kuna swala huwa sielew mbona hizi dini zinapokezana kwenye urais ndio kanuni au ni bahati na sibu.

Mwl jk nyerere - Christian
Mzee mwinyi- Muslims
Mzee mkapa - Christian
Mzee kikwete - Muslims
Magu pombe -Christian

Je ajaye ni lazima awe Muslims?

My expectation: S. Jafo
 
Next CCM candidate bila hata kupingwa tena atapewa baraka za wananchi wengi, makanisa na misikiti na wananchi wengi sana.

Record this and save it .
 
Ukiniuliza baada ya Magufuli naweza kusema
Ccm itakuwa na any of these;
Hussein Mwinyi
William Lukuvi
Majaliwa Kassim
Suilemani Jaffo

Upinzani namuona
Zitto Zuberi Kabwe chini ya mwamvuli wa upinzani
Hussein mwinyi hata sio mtu wa siasa sana, sijui na sina hakika kama ataweza kuhimili siasa za majukwaani haswa Kwa ngazi kubwa kama unayiifikiria, nadhan yeye hapo tunaweza kumwondoa kwenye list
 
Aidha naingia msituni, au kwa kuwa naipenda sana nchi yangu na nisingependa iingie kwenye machafuko, basi naenda kuishi uhamishoni mpaka ufalme wake utakapomaliza muda wake.
Hakika mkuu. Nchi itaongozwa na kichaa anayedhan nchi inaongozwa kwa kupiga kelele. Hayupo kwenye uhalisia. Lissu rais Tanzania. Haitokaa itokeee
 
Kassim Majaliwa, bila chenga. Huyo jafo ana wake wanne. Sisi hatuwezi hudumia first ladies wanne.
Tuombe uzima
Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi
Tanzania 2025 Bashiru Ally na VP Makame Mbarawa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom