I'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!😂
umejaribu kufuatilia Mahiga atakua na umri gani 2020?Kama ma CCM yataendelea ,Rais atakuwa Augustine Mahiga
na Upinzani itakuwa Lissu
Makame mbarawa is the nextI'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!
Hussein mwinyi hata sio mtu wa siasa sana, sijui na sina hakika kama ataweza kuhimili siasa za majukwaani haswa Kwa ngazi kubwa kama unayiifikiria, nadhan yeye hapo tunaweza kumwondoa kwenye listUkiniuliza baada ya Magufuli naweza kusema
Ccm itakuwa na any of these;
Hussein Mwinyi
William Lukuvi
Majaliwa Kassim
Suilemani Jaffo
Upinzani namuona
Zitto Zuberi Kabwe chini ya mwamvuli wa upinzani
Kwa balozi mahiga haitowezekana mwaka 2025 balozi mahiga atakuwa kafikisha umri wa miaka 80.Kama ma CCM yataendelea ,Rais atakuwa Augustine Mahiga
na Upinzani itakuwa Lissu
Huyu mnae muona ndiyo raisi wa mwisho kwa umri wenu, labda mungu awasaidieI'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!😂
Hakika mkuu. Nchi itaongozwa na kichaa anayedhan nchi inaongozwa kwa kupiga kelele. Hayupo kwenye uhalisia. Lissu rais Tanzania. Haitokaa itokeeeAidha naingia msituni, au kwa kuwa naipenda sana nchi yangu na nisingependa iingie kwenye machafuko, basi naenda kuishi uhamishoni mpaka ufalme wake utakapomaliza muda wake.
Tuombe uzimaKassim Majaliwa, bila chenga. Huyo jafo ana wake wanne. Sisi hatuwezi hudumia first ladies wanne.
Jaffo au Lukuvi majembe hayaaHussein mwinyi hata sio mtu wa siasa sana, sijui na sina hakika kama ataweza kuhimili siasa za majukwaani haswa Kwa ngazi kubwa kama unayiifikiria, nadhan yeye hapo tunaweza kumwondoa kwenye list
Majaliwa kJaffo au Lukuvi majembe hayaa