establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,622
- 2,377
Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kutokuona kwako couple ya black & white haijamaanisha hakuna na ni vigumu kutoka yuko South, pili mwanamke kuwa na chura si kigezo cha kuolewa wanaume wanatofautiana baadhi ya vigezo ni ndio maana wanawake wanaoelewa licha ya kuwa na maumbo tofauti tofautiWandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Amakwer ww ni mponda sumuSogea mitaa anayokaa Diamond uone,hata Mjumbe wao wa nyumba kumi kaoa mzungu
Sasa hao watoto mixed race wanatokea wapi, au adoption??.?nimeishi Joburg, Hatfield= Pretoria na Durban, sijawahi kuona hizo couple za mchanganyiko. Japo kina mama MA-BLACK wana CHURA ajabu.
Sasa wewe muda wote unaongea kiswahili tu wabongo haya utayaona wapi?Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
kajifunze kiingereza kwanza ndugu, wewe unafikiri kisukuma unataka uongee kiingereza, ni ngumu.Halafu rekebisha heading yako iko tofauti na maelezo yako.
Unapoandika heading ya kingereza halafu unaweka maelezo kwa kiswahili unachekesha.kajifunze kiingereza kwanza ndugu, wewe unafikiri kisukuma unataka uongee kiingereza, ni ngumu.
Kwanza wewe fala ni kiazi kabisa, si kila mzungu Msouth Afrika ni kaburu, kama ulikuwa unaishi na mateja wenzio huwezi kulijuwa hili hata siku moja.Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Labda mzungu teja mwenzake ndio anaweza kumpata ili ampe bwimbwi la dezodezo.Badala ya ubebe box unawaza mteremko Wa kupata mzungu...