Can A Husband Forgive Wife Caught In Adultery??

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...
 
FL1

Kusamehe ni karama tuliyopewa na Mungu; na ni kitu kizuri sana kama unaweza kusimama nacho bila kumnanga mwenzi wako miaka yote baada ya hapo.

Ninajua wanaume wengi sana wamesamehe na wengine wanaishi na watoto waio wao tena wakiwa wanajua... hilo linawezekana sana, lakini pia ukweli yote yatategemea sana huyo mama amefanya na nani na pia katika mazingira gani. Sijui kwangu yakinitokea ntafanyaje ila naomba sana mungu anipe uwezo huo

Nadhani yote yanatemegea malezi, imani yako na matumaini uliyopewa

Namuombea huyo jamaa akiamka atafakari kama anaweza kuishi na consequences za infii
 
Jamani muache kuiba....! Cheki sasa mwizi mwenyewe anjiletea ujane...! Sasa nani alaumiwe?
 
Yawezatokea. Lakini mara chache sana. Hili mtu hawezilipangia kabla ya tukio, bali ni jinsi Mungu atakavyomuongoza wakati huo wa tukio!
 
Kuna wengine wanaweza kufauta ule mstari wa kusamehe saba mara sabini......wanasamehe na maisha yanaendelea....ila ni adimu sana watu wa aina hii...
Ila infii kwa mke, ney!
 
Nguluwe pitaaaaaaaa sina mkuku mie wewe haramu hahah

mkuke kwa nguruwe........................
 
FL1

Kusamehe ni karama tuliyopewa na Mungu; na ni kitu kizuri sana kama unaweza kusimama nacho bila kumnanga mwenzi wako miaka yote baada ya hapo.

Ninajua wanaume wengi sana wamesamehe na wengine wanaishi na watoto waio wao tena wakiwa wanajua... hilo linawezekana sana, lakini pia ukweli yote yatategemea sana huyo mama amefanya na nani na pia katika mazingira gani. Sijui kwangu yakinitokea ntafanyaje ila naomba sana mungu anipe uwezo huo

Nadhani yote yanatemegea malezi, imani yako na matumaini uliyopewa

Namuombea huyo jamaa akiamka atafakari kama anaweza kuishi na consequences za infii

Mama alikuwa na mahusiano na boss wake akiulizwa anakataa ,mmewe akaweka mtego uliofikia kumnasa ..
Sasa mama ametoweka katika mazingira ya kutatanisha mzee yuko hospital
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...

Hapo kwenye bold... kumbe wenzetu wana mioyo midogo hivi? Mbona sasa hututenda hivihivi jamani kumbe wanajua yakiwapata wanaweza hata kupoteza maisha?

Nadhani ni muda muafaka kutafakari na kuona ukweli wa usemi usemao " usimtendee mwenzio lile usilopenda kutendewa"...pole bwana kaka.Mungu ametupa uwezo wa kusahau japo kusamehe ni vigumu na hii ni kwa wote.
 
No way... Never!

Just imagine jamaa linagugumia juu ya mke halfu wewe unasema "I'm forgiving you and I will forget"!
 
It is total lunacy to forgive something like that. At least to me it is. But at the end of the day, to each his own.
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...

Huo ni mtihani mgumu lakini hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
 
No way... Never!

Just imagine jamaa linagugumia juu ya mke halfu wewe unasema "I'm forgiving you and I will forget"!

kwani unamsamehe wakati jamaa likiwa bado juu linagugumia, acha roho ngumu ,mbona tunaoa wanawake waliokwisha zaa tayari au walioachika, c nao midume ilikuwa inagugumia, ukiweka akili ya kusahau yaliyopita na kuganga yajayo mambo yote yanawezekena,
Tambueni wanaJF adhabu iliyokali kuliko zote ni upendo kwa aliyekukosea, waswahili wanasema ADUI MPENDE.........................................
 
I am adamant when it comes to infidelity. Therefore there is absolutely no way that I would forgive. It's one and done. That's it and that's that.
 
Wakati naoa nilijiuliza nioe mtu au nioe malaika. Nilitamani nioe malaika lakini nikashindwa, nikaamua nioe binadamu. Sasa infidelity wanafanya nani, kama sio binadamu. Akicheat, nitamsanehe tu kwa sababu yeye ni binadamu. Ila angekuwa malaika nisingemsamehe kamwe...
 
Back
Top Bottom