ok ok me now I understand
Vp mzee mwenzangu upo chatle au???
Mimi huwa makini sana na waanzisha magroup ya Riwaya humu huko whatsapp. Manake unakuwa umetoa namba zako na kuwa exposed!Ndio maana nikaweka kipengere cha pili kwamba kutambua/kugundua hizo alama itategemea sana ubobevu, taaluma, na uzoefu wa hao wafuatiliaji wa alama.
Tukirudi kwenye mada, hata humu jamvini ni kuwa makini tu. Iwe mtaani au popote pale.
dah! Noma sanaNimeitoa huko tweeter kwa kigogo, Mshanajr we mbayaView attachment 1153085View attachment 1153086
What happened mkuu tuambieUshawah kula malaya usalama yalnkutaa looh
a e i o u
Dah! "FBI wa kujitegemea"utawasikia.magufuli banaa.
Utawala wake mbovu kweli.
Kumbe wanangoja ufunguke wakuletee pira.
Mimi uwa nakaa kama sipo.mi mwenyewe FBI wa kujitegemea.
Mimi huwa makini sana na waanzisha magroup ya Riwaya humu huko whatsapp. Manake unakuwa umetoa namba zako na kuwa exposed!