Camouflagers na informers

Kama ya tukio hili hapa chini kwenye youtube:
Jamaa aliondoka kwenye crime scene na jani la mti lilidondokea kwenye cabin ya pick-up yake. Na hili wanakiri kuwa ni tukio ambalo kwa mara ya kwanza DNA ya mti ilitumika kama ushahidi mahakamani na kumtia hatiani mtuhumiwa. Kabla ya hapo, DNA ya mti ilikuwa haijawahi kutumika, isipokuwa ya binadamu tu. Hawa jamaa huwa wanatumia akili kubwa hadi huwa inanipa maumivu mwilini nikianza kufikiria wanavyofanya kazi! Acha kabisa

Kutokana na forensic science niliyoipitia,
Kuna case study moja niliicheki jamaa alifanya mauaji ya mwanamke na kwenda kumtupa kwenye majalala huko eneo jingine.

E.g Kwa mkoa wa mara tarime ina ardhi tofauti na Musoma Manispaa,
Hivyo katika uchunguzi wa gari ulipofanyika kwa suspect wa mauaji alikutwa katika gari lake tyres zina udongo (soil sample tofauti na ya eneo husika)

Katika soil sample analysis (evidence) iliyofanyika kwenye eneo la mauaji ili match na ile iliyoko kwenye tyres za gari lililokamatwa la suspect. Hapa unaona hata udongo pia unaweza kutumika..

- Kuna trace evidences kama hair,blood stain, saliva n.k
 
Kutokana na forensic science niliyoipitia,
Kuna case study moja niliicheki jamaa alifanya mauaji ya mwanamke na kwenda kumtupa kwenye majalala huko eneo jingine.
E.g Kwa mkoa wa mara tarime ina ardhi tofauti na Musoma Manispaa,
Hivyo katika uchunguzi wa gari ulipofanyika kwa suspect wa mauaji alikutwa katika gari lake tyres zina udongo (soil sample tofauti na ya eneo husika)
Katika soil sample analysis (evidence) iliyofanyika kwenye eneo la mauaji ili match na ile iliyoko kwenye tyres za gari lililokamatwa la suspect.
Hapa unaona hata udongo pia unaweza kutumika..
- Kuna trace evidences kama hair,blood stain, saliva n.k

Kwenye huo unaouiita ujinga ujinga, ndiyo huwa kuna siri za mambo makubwa yamejificha humo! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye mambo makubwa, huwa yanajifificha kwenye vitu vya kijinga kijinga ili akili kubwa itumike kuweza kuyaona!. Kwa mfano, kuna real story ya jamaa mmoja aliwahi kufukua maiti halafu akaenda akaichoma kwenye gari lake, ili ionekeane kuwa amepata ajali yeye mwenyewe akiwa anaendesha gari, ili mke wake alipwe LIFE INSURANCE, hatimaye yeye akawa amebadilisha identity baada ya muda, ikaonekana ni mchumba mpya wa yule mwanamke aliyepoteza mme wake kwa ajali ya gari,..., ili wale bata vizuri! Kumbe polisi walishauona mchoro kwenye scene ya ajali kwa vitu viwili vidogo tu, cha kwanza "there was no skidding marks on the road" ambazo zingethibitisha kuwa ilikuwa ajali iliyopelekea gari kuungua, na cha pili, dereva akipata ajali akaungua ndani ya gari alilokuwa akiendesha, kiti cha dereva huwa hakiteketei chote. Kwa case ya huyu jamaa kwa sababu alienda akafukua maiti ya miezi kadhaa na kuiweka kwenye gari ahalafu akaitia kiberiti, kiti cha dereva kilikuwa kimetekea chote! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye vitu vikubwa sana, in most cases!

Acha uongoo mkuu ajali ngapi tumeziona zikiteketea kwa moto na dereva akiwepo kwenye kiti vyote vinakuwa majivu...?
Tembea uone achana na story

Bora tumekupata mtaalamu. Kuna ubishi uliwahi kutokea humu siku za nyuma. Huyu jamaa hapa aliwahi kunibishia, anaweza kuwa yuko sahihi? Nilishamjibu na nikamwekea na ushahidi huu hapa:
 
Mkuu Makanyaga

Wachunguzi kabla ya ku employ advanced technics katika kusolve crimes huanza na basics ambazo huwa kama hivi,

1. Deductive Reasoning
Hapa wachunguzi hutumia viashiria (clues) na visababishi (leads) kufikia kutoa hitimisho (conclusion) through d.reasoning.
Mara nyingi polisi hawafuati mpangilio wa matukio katika kufikia hitimisho la uchunguzi wa kesi husika. Eg. 7,2,5,4....
Hizi clues and leads huchukuliwa randomly Mpaka pale ushahidi mpya utakapopatikana ndipo utaongezwa katika viashiria (clues) za kesi.

Baada ya ushahidi kwa kiwango kikubwa kupatikana, Ndipo hapo sasa huanza ku organize clues katika mpangilio sahihi e.g 1,2,3...

Kinachofuatia ni wachunguzi kuangalia vitu ambavyo vinavyoweza kuwa havihusiani na eneo husika la tukio na kuchukua details za hapa na pale.

- Mashahidi huanza kuhojiwa na washukiwa (wa kesi kama wapo) wakiwa wamehusihwa kwa namna moja au nyingine.
Hapa pia kuna hitimisho hufikiwa kwa wakati ambapo uchunguzi unakua unaendelea kufanyika

Kwa wakati huo autospy na lab reports zinakua studied na kuchunguzwa kwa kina katika kuhakikisha wanapata maana hasa ya viashiria vilivyopatikana kwenye kesi husika.
A cimbination of these actions helps the investigators to know what CLUES mean.

Bora tumekupata mtaalamu. Kuna ubishi uliwahi kutokea humu siku za nyuma. Huyu jamaa hapa aliwahi kunibishia, anaweza kuwa yuko sahihi? Nilishamjibu na nikamwekea na ushahidi huu hapa:

Nitakuja kuendelea baada ya muda fulani.. Na nitaisikiliza video kwa makini okwa maana bado sija settle kwa hapa nilipo.
 
Mkuu Makanyaga

Wachunguzi kabla ya ku employ advanced technics katika kusolve crimes huanza na basics ambazo huwa kama hivi,

1. Deductive Reasoning
Hapa wachunguzi hutumia viashiria (clues) na visababishi (leads) kufikia kutoa hitimisho (conclusion) through d.reasoning.
Mara nyingi polisi hawafuati mpangilio wa matukio katika kufikia hitimisho la uchunguzi wa kesi husika. Eg. 7,2,5,4....
Hizi clues and leads huchukuliwa randomly Mpaka pale ushahidi mpya utakapopatikana ndipo utaongezwa katika viashiria (clues) za kesi.

Baada ya ushahidi kwa kiwango kikubwa kupatikana, Ndipo hapo sasa huanza ku organize clues katika mpangilio sahihi e.g 1,2,3...

Kinachofuatia ni wachunguzi kuangalia vitu ambavyo vinavyoweza kuwa havihusiani na eneo husika la tukio na kuchukua details za hapa na pale.

- Mashahidi huanza kuhojiwa na washukiwa (wa kesi kama wapo) wakiwa wamehusihwa kwa namna moja au nyingine.
Hapa pia kuna hitimisho hufikiwa kwa wakati ambapo uchunguzi unakua unaendelea kufanyika

Kwa wakati huo autospy na lab reports zinakua studied na kuchunguzwa kwa kina katika kuhakikisha wanapata maana hasa ya viashiria vilivyopatikana kwenye kesi husika.
A cimbination of these actions helps the investigators to know what CLUES mean.

Nitakuja kuendelea baada ya muda fulani.. Na nitaisikiliza video kwa makini okwa maana bado sija settle kwa hapa nilipo.
Dah.... Asante sana nimejikuta nakuwa mwanafunzi wa investigation cases.... Kuna vitu vipya nimejifunza... Nasubiri mwendelezo kwa hamu
 
Kwanini ajali zinachunguzwa?

"Ni kosa kutumia nadharia ikiwa bado hujapata ushahidi wa kile unachokichunguza. Hii huweka upendeleo katika lile uchunguzalo kabla ya kupata chanzo"

Mazingira/Crime scene

Katika ajali zinazotokea barabarani ni muhimu kurekodi iwapo kuna mvua, tope, vumbi ,barafu na pia shughuli zinzofanyika katika eneo la ajali vilevile na aina ya barabara eg. Highway

AINA YA GARI ILIYOHUSIKA KATIKA AJALI.
Katika case ni muhimu kutaja ni gari/magari ya aina ipi yamehusika katika ajali husika kwani husaidia kujua vizuizi vya usalama vinavyopatikana ktk gari husika eg. Restraint systems kama air bags, Seat belts zilizoko katika gari.
Au ajali ni kati ya gari kubwa vs dogo , dogo vs dogo, kubwa vs kubwa, ya mizigo vs abiria etc
Kama unavyolinganisha ukubwa wa gari bila shaka ni lazima utambue ni akina nani wamehusika katika ajali. Eg. Kijana vs mzee, mzee vs mzee, mzoefu vs asiyemzoefu
Pia kuna study zilishafanyika kujua ni seat gani ambazo ni most vulnerable katika gari.. Hivyo basi baadhi ya seat zikionekana haziko kama ilivyodhaniwa huleta wasiwasi katika uchunguzi.

Haishii hapo bali hata kwa dereva inategemea anayeendesha yuko katika shape ipi.
Eg. Mwanamke mwenye umbo dogo akipata ajali hata kama Air bags zake zinafanya kazi vizuri bado ana hatari ya kuumia katika maeneo ya uso, mkono na kesi za kuungua na joto linalotokea katika air bags (kwani air bags hujazwa kwa gas)

Unaanzaje uchunguzi?

Siku zote eneo la tukio huwa lina kila kitu kinachohitajika ili kukamisha kesi hiyo. The crime scene knows everything in detail.
Kama ni mchunguzi wa ajali maswali kama nini, kwanini, wapi, sangapi, nani, vipi ni maswali yanayokuwa ktk kichwa cha anayechunguza.

NJIA ZA KUCHUKULIA USHAHIDI
hapa utaangalia ni kipi hasa kinafaa kutokana na kesi husika na eneo husika.
Mfano, kama ushahidi umeachwa wa alama za miguu na kuna mvua inakuja yakupasa ufunike eneo kwani sio kila sample inapelekwa lab. sample ya ushahidi inaweza kupotea wakati wa kubeba/usafirishaji.
Kwenye kesi kama hiyo yakupasa upige picha, upate sketch ya eneo husika, videofootage kama zipo za eneo.

Taarifa za kuangalia wakati ambao gari linakua limepata ajali (basics)
- Eneo ambalo gari imeegemea.
- Eneo walilopo majeruhi ikiwa ajali imetokea na watu wametoka ndani ya gari.
- Eneo la mabaki ya gari
- Eneo la mikwaruzo (skid marks) katika gari zilizohusika/iliyohusika.
- Vifaa vilivyokosa katika ajali husika
- Damage iliyotokea katika mazingira ya pembeni ya gari eg. Kugonga mti, nyumba, n.k

Kumbuka ajali hufuata sana newton's second law of motion

ANALYSIS PART.

Hapa unaangalia kwanini hiki kiko mahala hapa na nini chaweza kuwa kimesababisha mpaka kufikia hapa. Eg. Kiti cha dereva kung'oka na kuegemea upande wa nyuma wa abiria. Na kama imehusisha engine kupatikana eneo jingine lazima mjue kabla ya ajali hiyo wngine ilikua na madhaifu yapi .
Kiufupi kila kitu ambacho kiko displaced kinakuwa na maelezo na maswali yanayotaka majibu.

Nadhani kuna ile quote kwamba imagination is better than knowledge (sikumbuki aliyeisema) ila katika kesi zinazihusisha ajali ni moja ya vitu vinavyohitaji uwezo mkubwa wa kuimagine na ku visualise vitu katika mind yako kama vile imetokea ukiwepo ama wewe ni shuhuda.
Hii hufikia mpaka hatua ambayo mchunguzi hujiweka katika nafsi ya dereva na kuangalia possibilities zilizopo mpaka pale atakapoona moja wapo ina match na statements zilizopo. Kwani kwenye ajali kuna scenario tatu.
Precolission, collision (impact) na post collison.

Kwenye part ya impact hutegemea sana majeraha, au madhara yaliyopatikana kwenye wahusika wa ajali ambayo hupimwa kuona kama yanashahabiana na msuguano/mgongano uliopatikana ndani ya Gari husika.

LaKini kabla ya kutoa hitimisho yapaswa kujua kuwa
"sio kila ajali zinafanana, na kila ajali ina namna yake ya kuchunguza lakini namna ya kuchunguza ajali haiwezi kubadilika sana japokua ajali zinatofautiana"
Hii hutegemeana na nani ambaye anachunguza ajali husika, kwani kila mtu ana patterns anazoangalia katk uchunguzi wake.
 
Katika vehicular accident investigations and reconstructions
Ina ishu nyingi sana sana ambazo ukipitia kila moja moja ni mada kamili kwani nimebakisha,
- Kuna investigation zinazofanyika ktk fresh scenes (uchunguzi baada ya ajali kutokea, Stale or aged scene (kufanya uchunguzi baada ya eneo la ajali kupatikana baada ya siku nyingi,
Cc Makanyaga Mshanajr
 
Nitajifunza hii kitu for interest
 
Nitajifunza hii kitu for interest
Ni nzuri,
Binafsi nimeisoma darasani na sikutaka kuishia hapo japokuwa scope yangu iliishia kwenhe ishu za experiments zaidi.. (forensic chemistry) hivyo haifiki katika ishu za vehicles wala ballistics na weapons maana imeingia katika forensic physics japokua zote ni forensic science.
Huku nimejisogeza kwa sbabu ya kiu na curiousity tu.
 
suala la lissu ulijaribu kufanya uchunguz

Unaweza ukatushirikisha ?!
 
Mimi ni mwalimu mkuu.
Labda naitumia katika ishu nzima ya ku detect forgeries kwa wanafunzi, miandiko, alama za kughushi na masuala ya kielimu kwani nimepitia na ishu za forgery.
Kumbe hii ndiyo ID yako...okay
 
Mimi ni mwalimu mkuu.
Labda naitumia katika ishu nzima ya ku detect forgeries kwa wanafunzi, miandiko, alama za kughushi na masuala ya kielimu kwani nimepitia na ishu za forgery.
Fikra zangu zilikuwa sahihi
 
Back
Top Bottom