Camouflagers na informers

Leo hii si jambo la ajabu kwa mtu ambaye wewe unaamini kuwa ni smart (kitengo, akili kubwa)Ukamuuliza swali lisemalo kuwa Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?Jibu atakalolitoa litakuwa hivi"Tanzania ilipata Uhuru tarehe 9/12/1961" Hii si kweli,na haya ni mfano wa maswali yaulizwayo nchini Marekani ili kupima IQ yako kwa njia ya mazungumzo, ingawa pia wanapima IQ kwa njia ya mashine.Sasa jibu la swali hili ni kwamba;Tanzania haijawahi kukosa uhuru,kutokana na Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar.Bali Tanganyika ndiyo iliyopata Uhuru mwaka huo.
kuna maswal ya kupima iq sio km hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?

2. Wapi huchukua hayo mafunzo?

Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Heshimu kazi za wengine mkuu
Hakuna kazi za ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom