Twitter9
Member
- Jan 26, 2019
- 61
- 71
Kwa kweli nawapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya kwa taifa letuKatika hii, kundi la kwanza na la pili TZ iko fiti
Kwa kweli nawapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya kwa taifa letuKatika hii, kundi la kwanza na la pili TZ iko fiti
Mkuu mshana jr naomba nikuulize swali, hivi wewe huwa ni mchawi au mganga
Huwezi kuwa mganga bila kuwa mchawi, wote wapo nchini ya mwamvuli mmoja.Mkuu mshana jr naomba nikuulize swali, hivi wewe huwa ni mchawi au mganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ulinzi ulivyo mkali pale muuza madafu na baiskeli yake aliwezaje kumsogelea mzee baba?
Huwezi kuwa mganga bila kuwa mchawi, wote wapo nchini ya mwamvuli mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna maswal ya kupima iq sio km hayoLeo hii si jambo la ajabu kwa mtu ambaye wewe unaamini kuwa ni smart (kitengo, akili kubwa)Ukamuuliza swali lisemalo kuwa Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?Jibu atakalolitoa litakuwa hivi"Tanzania ilipata Uhuru tarehe 9/12/1961" Hii si kweli,na haya ni mfano wa maswali yaulizwayo nchini Marekani ili kupima IQ yako kwa njia ya mazungumzo, ingawa pia wanapima IQ kwa njia ya mashine.Sasa jibu la swali hili ni kwamba;Tanzania haijawahi kukosa uhuru,kutokana na Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar.Bali Tanganyika ndiyo iliyopata Uhuru mwaka huo.
Hapana sio kweli
Kwanza mganga ni mtabibu wa tiba za asili, hivyo anaweza kuwa ni mchawi au sio.
Kwa ulinzi ulivyo mkali pale muuza madafu na baiskeli yake aliwezaje kumsogelea mzee baba?
Hapa ni kampala
Umewahi kuona ulinzi wake?? Unadhani ni rahisi kwa raia WA kawaida kusogelea eneo alilopo?
Heshimu kazi za wengine mkuuMaswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?
2. Wapi huchukua hayo mafunzo?
Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Ndio.Inamaana kila anaepishana na msafala wa rais kapangwa?Umewahi kuona ulinzi wake?? Unadhani ni rahisi kwa raia WA kawaida kusogelea eneo alilopo?
Bahati mbaya Wabongo wengi hawana elimu ya ujasusi Na hawana muda wa kujifunza namna Haya mambo yalivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely.Sahihi sana locard's principle inadai hivyo na ......
Proudly sponsored by
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!