PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,211
- 4,170
fatilia Mechi LIVE kati ya wawakilishi wa Africa Cameroon vs Chile sasa hivi kupitia TV1 Karibuni
karibu ndugu. Ndiyo Raha ya mitandao ya kijamii kupeana Taarifa.Ahsante kwa taarifa
√Wataonyesha Mechi zote?
Ndiyo Mkuu.Wataonyesha Mechi zote?
ni presha tupu. Bora hata wangekua Ghana Au Ivory cost. Lakini hawa jamaa ni Bure Kabisa Miaka Yote.Hawa Cameron wakitoka leo sijui.
Saaana Mkuu, yaani kama Sanchez angekuwepo naamin tungekuwa tunaongea mengine. naomba twende HT hivi angalau tukajipange upyakama kawaida yetu wa Africa ni kukosa umakini Uwanjani. Jamaa wanatupeleka sana.
dk ya 40 hii mnawananga lkn matokeo bado ni bilabila,unatamani wafungwe nini mkuu?ni presha tupu. Bora hata wangekua Ghana Au Ivory cost. Lakini hawa jamaa ni Bure Kabisa Miaka Yote.
nikweli kabisa Mkuu. Timu inawachezaji wanamiili mikubwa lakini wanacheza hovyo kabisa.Kipa huyu wa Cameron ni kati ya makipa bora na walio kwenye ubora wao kwa sasa barani Afrika... (ONDOA)
hivi mkuu shida ya waafrica ni Nini? Mimi nawaza hata sipati jibu hivi tumelaaniwa na nani?Saaana Mkuu, yaani kama Sanchez angekuwepo naamin tungekuwa tunaongea mengine. naomba twende HT hivi angalau tukajipange upya
haya kumekucha. Nadhani sasa watapata Akili Nzuri.Hawa Chile nao hawana shida ya kufunga