Cameroon: Serikali yasema zaidi ya watoto Milioni 2 hawana Vyeti vya kuzaliwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,776
2,000
Waziri wa Afya ya Umma, Manaouda Malachie amesema watoto zaidi ya Milioni mbili hawana Vyeti vya kuzaliwa, jambo ambalo linaweza kuathiri upatikanaji wa huduma muhimu za Serikali zikiwemo Afya na Elimu.

Mamlaka zimetaja baadhi ya sababu kuwa ni mashambulizi ambayo yamekuwa yakifanywa na Boko Haram, rushwa na watu kukosa uelewa wa kutosha. Bunge limeanza kikao kutafuta suluhisho.

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Watoto (UNICEF) limesema mwaka jana zaidi ya Watoto 40,000 walishindwa kufanya mitihani ya kumaliza Shule kutokana na hilo.

Serikali ya Cameroon imeahidi kujaribu kulegeza taratibu za upatikanaji wa Vyeti vya kuzaliwa.

=====

More than two million children in Cameroon do not have a birth certificate, Public Health Minister Manaouda Malachie has said.

This could affect their access to basic government services, such as health and education, in the future.

The authorities have blamed the situation on a raft of factors including the conflict in Cameroon’s English-speaking regions, the attacks by Boko Haram militants in the north, illiteracy and corruption.

Parliament began meeting on Monday to find solutions.

Mr Malachie said the future of these children could be compromised.

The UN’s children’s organisation, Unicef, has highlighted how more than 40,000 children in the country’s Far North region were unable to sit their school leaving exam last year because of a lack of a birth certificate.

The government has promised to try and ease the procedures for getting a birth certificate.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom