Cameron threat to withhold UK aid to anti-gay nations ........ WATANZANI MPOO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cameron threat to withhold UK aid to anti-gay nations ........ WATANZANI MPOO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lifeofmshaba, Oct 30, 2011.

 1. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  British empire
  Mr Cameron told BBC One's Andrew Marr Show that "British aid should have more strings attached".
  But he conceded that countries could not change immediately, and cautioned that it would be a "journey".
  "This is an issue where we are pushing for movement, we are prepared to put some money behind what we believe. But I'm afraid that you can't expect countries to change overnight.
  "Britain is one of the premier aid givers in the world. We want to see countries that receive our aid adhering to proper human rights.

  Appointing a human rights commissioner to address this and other human rights issues was one of the 100-plus recommendations of the internal report, by the Commonwealth Eminent Persons Group, which includes former UK foreign secretary Sir Malcolm Rifkind.
  However, objections from a number of countries blocked adoption of the recommendation, according to Australia's prime minister Julia Gillard, speaking at the end of the three-day summit in Western Australia.
  Besides the homosexuality rights issue, Sri Lanka's human rights conduct also came under scrutiny at the summit. The country will host the next head of government's meeting in two years' time.
  Sri Lanka's army has been accused of war crimes during the civil war with the Tamil Tigers.
  Canadian Prime Minister Stephen Harper has said he will boycott the 2013 summit unless there are major reforms in the country.

  UPDATE 03/11/11
   
 2. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Why homosexual so important than any other human right problem facing africa
  example in our country no free election, no access to information. no access to legal advice except if you have money
  homosexual coming first if they want us to follow their culture for sake of getting financial aid
  we better say sorry
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Serikali ya Uingereza iwape viza hao mahomosexual wahamie huko ili biashara yao ichanganye.
  Wasipotupa misaada kwa ajili ya homosexuals I will be the happiest man
   
 4. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Africa siku zote tumekuwa tukiburuzwa tuu, ni sawa na kusema uhuru bila ya maendeleo na kujiweza kiuchumi ni ndoto ya Ali Nacha.Kwa maana nyengine, madhali bajeti zetu zinategemea misaada tusishangazwe sana na kubugudhiwa na masuala ya kipuuzi kama haya.

  Bado naumizwa na kichwa ni lini nchi Africa zitaweza angalau kujipangia bei ya bidhaa zao na angalau tukaweza kujitegemea.Maana leo Uganda wanazalishwa kahawa, lakini bei gani iuzwe kwenye soko la dunia tunachaguliwa bei ya kuuza.

  Naungana na waliotangulia, kheri watu wafe njaa lakini wawe huru kujiamulia.Kama haki za homosexual zitakuwa muhimu, basi isiwe kwa msukumo wa magharibi iwe kwa umuhimu wa ndani.Ambapo itachukua miaka mingi sana, hadi kwa nchi changa kama za Africa kuanza kujadili haki za homosexual wakati watu hata mikate hawamiliki!
   
 5. majata

  majata JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Thats true and we better say no because lucifer is on the way to trap us as it was
  To sodoma
  and gomorah.
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni sawa na kutuambia tuwe mashoga watupatie Tsh bilioni 450
  hakuna upuuzi kama huo wao watoe elimu ya haki za binadamu sisi tutapima yapi ni pumba, walisema watoto wasichapwa sasa ina warudi, walimu wana ruhusa kutumia force as needed kwa wanafunzi wakorofi,
  leo wamekuja na ya ushoga
  kama wao ushoga sio issue mbona viongozi wao kila siku wanajiudhuru kwa kutuhumiwa ushoga, si ni haki zao
  Tunazo haki nyingi za binadamu hazijafutwa hii ina umuhimu gani? kwani mpaka tuwatambue mashoga kisheria wanaweza kuendelea ki silence kama wanavyofanya sasa
   
 7. majata

  majata JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Ahsante kaka ni bora tufe wote kwasababu ya njaa kuliko ufedhuli huu ambao tunajua yehova Mungu kakataa kabisa hivi kwamba aliadhibu jiji kubwa kabisa la sodoma na gomora! Kikwete please say no!
   
 8. majata

  majata JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Kweli kabisa, hv d cameroon ni basha au shoga atuambie!!
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hiyo gay ni decoy tu . Ukweli UK uchumi wake uko hoi na watatumiaa sabbau yeyote kuzuia coomitement walizoatoa. Iwe ni kwa akigezo cha demokrasia, au ushoga, etc

  Hiyo ni sehemu ya debt crisis na vile vile ni sehemu ya sera iko amuni Coservaative government kutosaidia i maaifa maskini

  Maabo ya gay right wanasingizia sababu hta uko UK somehow wako hard na mmbo ya ushoga kulinganishana labour.
   
 10. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hahahahha you make me lough the way you asked very politely lakini hii ina pita wewe ngoja
  tuna wapuuzi wengi sana siku hizi
   
 11. W

  Wamtaa huu Senior Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Freemasons at work.Their aim is to rule the world.They got leaders and rulers of different nations to simplify their work.They want to replace current orders and norms to their rules.At that point their work will be fulfilled.
   
 12. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Better die than supporting gays,I WILL DIE SAYING NO
   
 13. NEW TANZANIA

  NEW TANZANIA Senior Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja
  japo Raisi kikwete aliwai kusema bila misaada tutakufa THIS IS TOO MUCH NOW
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hapa tunaburuzana tu, ni bora wasipotoa hiyo misaada.
   
 15. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  i SAY NO TO HOMOSEXUAL.......!!!!!
   
 16. NEW TANZANIA

  NEW TANZANIA Senior Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamevuka mipaka kusema ukweli,
  uwezi kutumia vitisho kuweka sheria, hawaoni kama na wao wanabaka haki zetu, tuna haki kama binadamu kukubali au kakataa ushoga kama wao wanaona ni big deal wawachukue kwenda kwenye nchi zao
   
 17. A

  Ame JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Naona mpinga kristo yu karibu sana kujitangaza hadharani na sheria zake hizo za kuzimu.....
   
 18. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Why make homosexual very important topic for African countries??
  why putting some sanctions to countries which don't support this???
  Why want to justfy the sin which is not permited even in the bible???
  They know now we want to change our constitution and they start to come up with that stuff..

  We have some many problems to solve than homosexual thing.. like food, clean water, electricity, jobs and much more.

  What i think is that Americans and Europeans what us to be spoiled like them..

  she should let our nation alone and wait untill we conquer our own problem then we will discuss with them who to eliminate homosexuality in the societ of theirs...

  Tanzania will never allow that. Shame of them and their homosexuals,, lesbian and Gays...
   
 19. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nipo tayari kufia jangwani kama sio cbe katika safari ya kwenda kupinga hii kitu magogoni ni afadhali ya OIC kuliko huu wehu.
   
 20. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na tgnp ole wenu mje na huu upuuzi mtaona
   
Loading...