cameras to wait for Mandela’s death

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
News agencies have been using CCTV cameras to spy on former president Nelson Mandela’s home in Qunu, in the Eastern Cape, Timeslive reported on Thursday.
Chieftainess Nokwanele Balizulu, who lives opposite Mandela’s house, confirmed to The Times that she gave Reuters and AP news agencies permission to install cameras, but would not admit to being paid for having done so.
A police task team was sent to investigate the security breach.
AP spokesperson Paul Colford said: “They are not surveillance cameras. Along with other media, the AP has preparedness around Mr Mandela’s eventual passing. The AP cameras were not switched on and would only be used in the event of a major news story involving the former president.”
Colford added: ”We had similar preparedness outside the Vatican ahead of Pope John Paul II’s passing.”
The task team is also investing other cameras set up in the area, one of those belonging to the SABC.
Kaizer Kganyago, spokesperson for the SABC, said he was unaware of it.
Mansdela moved from Johannesburg to Qunu, where he was born, a few days before his 93rd birthday on July 18. It is believed that he said he wanted to die from where he was born.
- News24
 
Duu! Watu wamechizika, yaani mtu anakula vyuku wao wanamuwangia na story za kifo..!! Unaweza kuta aliyeidhinisha camera hizo zipachikwe hapo anakufa na kumuacha babu wa watu anatesa... Haya komaeni na maandalizi mapema.
 
Unajua hawa jamaa wa habari hawa, wao wangependa hata leo hii Mandela afe, ili wafanye biashara, inawezekana sana kuna ambao wameshatengeneza vipindi vya aina mbalimbali, vinangoja mzee akate uzi tu wavirushe.
 
walidai mugabe atakufa mwakani'tunasubiri tuone kama kweli wao ndio wana uwezo wa kujua mipango ya mungu
 
walidai mugabe atakufa mwakani'tunasubiri tuone kama kweli wao ndio wana uwezo wa kujua mipango ya mungu

director nasikia Kanumba katoa filamu mpya!!!!!alafu ni kweli kwamba wakina WEMA WANAFANYA PROMO KWA VITUKO VYAO?
 
Unajua hawa jamaa wa habari hawa, wao wangependa hata leo hii Mandela afe, ili wafanye biashara, inawezekana sana kuna ambao wameshatengeneza vipindi vya aina mbalimbali, vinangoja mzee akate uzi tu wavirushe.

Duu! Watu wamechizika, yaani mtu anakula vyuku wao wanamuwangia na story za kifo..!! Unaweza kuta aliyeidhinisha camera hizo zipachikwe hapo anakufa na kumuacha babu wa watu anatesa... Haya komaeni na maandalizi mapema.

In connection to that, kuna mjukuu mojawapo wa Mandela yeye amejigawia haki ya kutangaza mazishi kupitia TV pale Mandela atakapokuwa anazikwa. Ameshachukua haki hiyo kutoka katika familia, yeye ndo atauza haki ya kurusha matangazo kwa TV maarufu zote, nadhani huenda ndo sbb inayowafanya SBC na wengine kutega kamera maskani kwa Madiba. Dunia ina mambo hii
 
Mwaka 2007 nilifanya kazi kwenye shirika moja la habari na walikuwa wametayarisha tayari obituary ya Fidel Castro. Mcuba bado anadunda miaka minne baadaye na nina hakika atakapofariki, itabidi hiyo obit yao waifanyie matengenezo makubwa tu. Wamwache mzee wa watu apumzike na Mungu peke yake ndiye anayejua ni lini atakapomuita.
 
unajua hawa jamaa wa habari hawa, wao wangependa hata leo hii mandela afe, ili wafanye biashara, inawezekana sana kuna ambao wameshatengeneza vipindi vya aina mbalimbali, vinangoja mzee akate uzi tu wavirushe.

nahsi hata hizo kamera zaweza kuwa na sumu walahi mzee wa watu aondoke mapema kwanza huyo kiongozi alieruhusu ni mshenzi mkubwa
 
Back
Top Bottom