camera360

sindibari

Member
Dec 11, 2013
27
7
vipi wadau hii camera wameindoa nini..naitafuta lakini sijaipata,nakuta nyingine ambayo imefanana nayo ambayo ubora wake haiko poa
 
Hii kitu Mimi huwa siielewi kabisa jinsi inavyotumika.Naombeni elimu tafadhali.
 
cheki simu yako ndio itakuwa haina flash. ubora utatoka wapi bila hiyo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom