Camera ya CM yangu haitaki kufanya kazi. Inaniandikia hivi

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,165
6,531
Habari wanajamvi.
Nina CM yangu Tecno k9 spark. Tokea Jana nikifungua kamera haipigi picha. Na tochi haitaki. Kwa mwenye kujua tatizo linakuwa lipi naomba msaada.
Au je ninaweza kwenda makao makuuu ya Tecno na wakanisaidia kutatua tatizo langu.
Na makao makuuu yao yako wapi kwa DAR.
ASANTENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaniandikia hivi
Screenshot_20190111-123512.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idondeshe tena kisha jaribu kuifungua camera ikigoma, washa kwenda kwenye safe mode kwa kubonyeza power off kwa kushikilia.
.
Yani pale unapobonyezaga power off usipabonyeze mara moja na kuachia (usipadokoe) pashikilie kisha itajizima na kuwaka upya ikiwa kwenye safe mode.
.
Ikigoma kabisa tatizo litakuwa kwenye camera yenyewe hivyo ni vyema ukabadilisha. Tatizo hili mara nyingi linakuwa linasababishwa na kudondoka kwa simu.
 
hapo inaonesha kuna application ip on kwenye background na inatumia hiyo camera,
funga application zote zilizopo kwenye background na
restart hiyo simu
halafu jaribu tena.
 
Asante
Idondeshe tena kisha jaribu kuifungua camera ikigoma, washa kwenda kwenye safe mode kwa kubonyeza power off kwa kushikilia.
.
Yani pale unapobonyezaga power off usipabonyeze mara moja na kuachia (usipadokoe) pashikilie kisha itajizima na kuwaka upya ikiwa kwenye safe mode.
.
Ikigoma kabisa tatizo litakuwa kwenye camera yenyewe hivyo ni vyema ukabadilisha. Tatizo hili mara nyingi linakuwa linasababishwa na kudondoka kwa simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
screenshort menu yako yote ya simu means nione app zote unazotumia....itakuwa rahisi kukusadia
 
Idondeshe tena kisha jaribu kuifungua camera ikigoma, washa kwenda kwenye safe mode kwa kubonyeza power off kwa kushikilia.
.
Yani pale unapobonyezaga power off usipabonyeze mara moja na kuachia (usipadokoe) pashikilie kisha itajizima na kuwaka upya ikiwa kwenye safe mode.
.
Ikigoma kabisa tatizo litakuwa kwenye camera yenyewe hivyo ni vyema ukabadilisha. Tatizo hili mara nyingi linakuwa linasababishwa na kudondoka kwa simu.
Hiyo option ya kwanza..... Una bifu na tekino?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom