camera aina ya SONY MPG4, MP3 na Simu ya Motorola aina ya motorazr2 v9x vinauzwa
wasiliana nasi kwa namba hii 255712404936 utajulishwa jinsi ya kuviona
tutajie bei na sehemu ya kuzipatacamera aina ya SONY MPG4, MP3 na Simu ya Motorola aina ya motorazr2 v9x vinauzwa
Nashuru wana JF wote walinipigia kutaka kununua hiyo Camera na nashukuru pia aliyeinunua kama nikipata ingine natawaambia, na samahani sana kwa usumbufu mlioupata kuweka tangazo nusunusu unajua tena ndio tunaanza biashara narudia sana samahani sana kwa usumbufu
Na hiyo Motorola imeshauzika au??
Ndio vyote vimeshanunuliwa unajua tena watu wengi wanaitaji kitu bora sasa walipoiviona tu na bei ilivokuwa poa wakavichua hapo hapo
hii inaonyesha jinsi gani waTZ hatujui matumizi ya TEKNOHAMA katika kufanya biashara.Huyu kweli anataka kufanya biashara? Mbona hayuko serious? Basic information nyingi hajaweka hapa!!