Camera inauzwa

kibuuu

Member
Nov 2, 2017
6
1
Nauza Camera Sony DSC W 800,ipo kwenye hali nzuri ,imetumika Mara mbili tu toka inunuliwe October 2017,INA vifaa vyake vyote,INA warrant mpaka November 2018 bei ni laki 2 tu
IMG_20171023_182129.jpg
IMG_20171023_182006.jpg
IMG_20171023_182055.jpg
 
Kuwa na busara mkuu usifikiri wote wana akili kama zako unaposema nimeiba unanivunjia heshima tafadhali
 
Kama huwezi nunua kaa kimya IPO siku na we utapata tatizo kitakacho kufaa ni Mali yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom