Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO

Discussion in 'Jamii Photos' started by Viol, Jul 10, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Huu ni mkamera wakushoot uliotumika kwe APOCALYPTO na hawa wengine kila mtu anashughuli yake kuna watu wa mavazi, scines, camera, locations, hadi watu wa Quality Assurance walikuwepo....hii movie ilirecodiwa chini ya ICON so wengi hapa ni wafanyakazi wa studio
  [​IMG]
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  APOCALYPTO Behind the scine: Kuna bibi mmoja aliigiza mule hapa anakula maelekezo namna yakucheza part yake na anaetoa maelekezo ni MEL GIBSON Director wa movie ya Apocalyto!! kuna watu wanachukua notes hapo sio mambo yetu yale kila kitu mwenyewe
  [​IMG]
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hapa anatoa maelekezo kwa wale mateka huyu n mel gibson mwe kofia
  [​IMG]
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Hii ni Camera iliyotumika kushoot movie ya APOCALYPTO inauwezo wakupiga picha hata chin ya maji na inatoa larycs au scipts an yale maneno yakuongea pia...behind the scene.
  [​IMG]

   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Hapa ni Ray The Greatest akiwa kazini
  [​IMG]
   
 6. K

  Kessy Hamisi Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bongo movie wajipange
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Je tutafika?angalia camera ya Ray na vifaa vyake halafu fananisha na wenzetu
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu bongo movies sometimes wanapofanya shooting mwenye camera anabebwa kwenye toroli ili apate good position ya kuchukua tukio
   
 9. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Bongo mpaka tuwafikie labda mwaka 2089.
   
 10. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni sawa na maji na mafuta. Kweli hawa ni waganga njaa tu.
   
 11. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mel gibson yupo mbali sana hata movies zake nyingine kama passion of christ,lethal weapon ziko safi.wenzetu wapo mbali kuanzia story,script,screen play,directing,acting,custumes na vingine viingi.

  Cha muhimu watanzania waliopo kwenye movie industry wasome ili wawe professional kuna wachache wanajitajitahidi kuipeleka next level mfano george tyson(director),bishop hiluka(script writer and editor) na mtu wa sauti young elie chansa.

  Wanigeria wamekamata multichoice na dstv ukitazama m-net,big brother africa,na vipindi vingi utakuta jamaa wapo kwa wingi na wanajaza contents zao na kupromote 100% naija mfano ik presenter wa big brother africa (alichukua nafasi kutoka kwa msouth africa kabello na anaendelea kuvutia)mkurugenzi wa m-net africa mwanamama,jamaa wengi kwenye directing na professional consultancies katika m-net.
  So watanzania tunaweza pia cha muhimu kuzidi kukazana.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Kweli magwanda yanapendwa. kofia kama ya Tundu lissu, nmeipenda sana.
   
 13. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Chezea $40 million budget...??? Hii sio Bongo Movie ...studio hadi rent yake Haizidi $20,000...

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 14. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hapo nimekubali bongo tunatengeneza video clips
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,,,,,,,,,,,,tumetofautiana
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  tena kupitia simu,,,,,,,
   
 17. V

  Visionmark Senior Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naamini tutafika huko kote na tutafanya makubwa zaidi na watakao tufikisha huko sio Ray, JB, Wema, Wolper ama nyota mwingine yeyote yule aliyeko kwenye tasnia ya filamu Tanzania hv sasa, bali ni vijana wengine kabisa watakaoamua kuingia kwenye tasnia hiyo wakiwa na utayari ya kujifunza, kusoma vitabu mara kwa mara, kufanya kazi wakiwa na nia ya dhati kabisa kuteka na kujulikana kwenye soko la kimataifa nasio kuangalia tu soko la "Mbagala"!
   
 18. sister

  sister JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,025
  Likes Received: 3,929
  Trophy Points: 280
  duh hii movie naipenda ingawa inahitaji moyo kuiangalia haswa jinsi wanavyouana..............ila waliniacha hoi pale yule mama alipojifungulia kwenye maji..........hivi inawezekana kweli?
   
 19. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Kutumia hiyo camera nadhani inatakiwa kufanyiwa training ya mwaka mzima.
   
 20. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Ukinunua camera kama hiyo hapa bongo hiyo pesa haitarudi hata utengeneze movie elfu kumi
   
Loading...