Camera hii!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
funny-picture-9979523901.jpg
 
Hudhuria nayo kwenye mkutano wa Obama halafu jifanye unachukua shoots uone
 
Best sio kwa Obama we nenda nayo kwa Mtalii wetu ki'wete uona utakavyo dakwa!

<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Ila walinzi wa Rais wa Tz hawana presha kabisa yaani wanakula shushu kwenda mbele na kusafiri tu hivi kuna threat kwli kwa kikwete au lets say Pinda, hata mi naweza kuwalinda
 
Best si unajua jamaa anavyopenda pomps. Ujue anawalinzi kibao utadhani waziri mkuu wa Israeli. Walikwenda siku moja kwenye ziara nilikuwa likizo huko Bongo walikuwa wengi dunia nzima me nkadhani jamaa anakaribia kupinduliwa!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Cheki hii camera nayo! ya Mkono tu!

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=u2DDvVdpn7w"]http://www.youtube.com/watch?v=u2DDvVdpn7w[/ame]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom