Camera Flash ya Nokia n9 yangu haifanyi kazi

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,608
5,269
Ndugu wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu, nina Nokia n9 lakini cha kushangaza flash camera haipigi kazi hata nikijaribu ku set flash yenyewe bila automatic bado haipigi kazi

Sijui tatizo nini, naombeni msaada wenu wataalamu nifanyeje sasa ili iweze kupiga kazi...

Cc: chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom