Camera does not lie Politics Would I Lie to You.

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
USIPOKUWA MWAMINIFU KWA KIDOGO HUWEZI KUWA MWAMINIFU KWA KIKUBWA PIA....(nimaelezo ya yatokanoyo katika mdomo wa Nape kwa maana nyingine ni kauli thabiti inayotokana na wadhifa wake )sasa nitakuombeni angalieni nilichokiweka hapo chini jee hawa watu ni waaminifu kwa kuwadanganya wananchi waliowachaguwa na Ulimwengu wenye kujuwa ukweli usiopingika?


TANGANYIKA INDEPENDENT - British Pathé


[url]http://www.britishpathe.com/video/tanganyika-independence



[/URL]





TANGANYIKA INDEPENDENCE - British Pathé

 
Sasa wanasemaje leo kuwa ni uhuru wa Tanzania?na rais wa zanzibar amepigiwa saluti pale leo huu kweli ni uongo wa wanasiasa kwa wapiga kura wao..Tafadhali mkuu naomba na ile ya John Okello alipotangaza uhuru wa zanzibar ili tuondoe ubishi wa misikitini na vijiwe vya kahawa......
 
Back
Top Bottom