Cambridge International College

Nov 2, 2020
68
90
Wakuu Habari,

Kama kuna mtu ambaye amewahi kusoma college hii inayotoa Kozi zake kwa mfumo wa Online,Naomba atusaidie juu ya eligibility yake na equivalency ya certificates zake kwa vigezo vya hapa nchini.

Mfano Kama mtu amesoma Diploma, Au degree chuo hiki,Atahesabika kama muhitimu wa ngazi gani kwa standard za Tanzania?!.
 
Cut a long story short. Shoot TCU an email au watembelee afisini kwao...
 
Back
Top Bottom