Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,034
- 79,020
- Thread starter
- #41
Anyway hivi railway ya Tazara inakatiza Mikumi au Selous? hapa unanichanganya!!!! na uo uwepo wa hizo barabara huko US ulikuja baada ya hizo park kuwa in the World Heritage List au kabla? maana tusichanganye mchanga na mchele! hauwezi kujenga barabara katika World Heritage Site ukategemea UNESCO wanyamaze!
Na sijasema Serengeti inapata watalii wengi zaidi ya Kruger bali inapata Watalii wenye kuwa tayari kulipa zaidi ukilinganisha na Kruger kwa vile ya uasili wake! Zaidi ya hayo fedha nilizoongelea ni zile zitokanazo na makusanyo ya Serengeti na si zile tu za mashirika kama UNESCO na pia nina uhakika kuna hela nyingi zimetolewa na mashirika baki kwa kigezo cha kuwa World Heritage site! haswa for restoration purposes au research purposes!
Pia pamoja na suala la forced eviction in Kruger ulilosema watu wa UNESCO huangalia factors nyingi ikiwemo na niliyoitaja pia!