Calculator ya TRA,inatumika kwa mujibu wa sheria gani?

boss B

Member
Apr 4, 2016
40
13
Tunajua ,ni wajibu wa kila mtanzania kulipa kodi,lakini kwa hili la calculator yenu mliyotuletea mbona hatuelewi ,imeletwa kwa mujibu wa sheria gani,ziwe za ndani ya nchi ama protocal,mbali na hilo mbona gharama za kodi haziko constant,leo hiyo calculator unapiga hesabu labda kama unataka ku import gari inakuambaa gari fulani ni mil8,Lakini likifika bandarini unaambia kodi ni milioni 18 hili limetokea jana tena kwa macho yangu nimelishuhudia posta.Kwa nini TRA inageuka wanyang'anyi ,au mnafurahia kutuona sisi tunapanda magari yenu kila siku,kwa namna hii hamuoni kua Mnaumiza sisi walala hoi tulio na nia ya dhati kuchangia mapato kwa nchi lakini mnataka tuanze kupitisha Nairobi.?
 
Back
Top Bottom