CAG: Watu wawili waliingiza magari 238 na walipewa msamaha wa kodi wa 3.5bn

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
CAG: Watu wawili waliingiza magari 238 walipewa msamaha wa kodi wa 3.5bn lakini magari yalisajiliwa kwa majina tofauti na waliopewa msamaha.

Je, hawa watu ni kina nani? Na kwanini walipewa msamaha wa kodi?
Je, baada ya kugundua hayo magari yamesajiliwa kwa majina tofauti, TRA wamechukua hatua gani?
 
CAG: Watu wawili waliingiza magari 238 walipewa msamaha wa kodi wa 3.5bn lakini magari yalisajiliwa kwa majina tofauti na waliopewa msamaha.

Je hawa watu ni kina nani? Na kwanini walipewa msamaha wa kodi? Je baada ya kugundua hayo magari yamesajiliwa kwa majina tofauti, TRA wamechukua hatua gani?

Utawala wa jk ulikuwa wa kipanya buku,inawezekana huyo mtu ni rizwan kwa mgongo mgongo,maana kipindi cha mwicho 2015 watu walikufuru kwa wizi kumtumia rizwan
 
kisha utaona mnyonge akiagiza kigari kutoka china ushuru unaipita thamani ya gari yenyewe,na atalipishwa zaidi ya mara moja ili imshinde gari
nchi hii unonevu mtupu kwa walala hoi,
-sheria ni kwa ajili ya kutukandamiza sisi
-kuwatajirisha viongozi ni kazi yetu

hakuna utetezi wala misamaha kwa wanyonge ni ukandamizaji tu
 
CAG: Watu wawili waliingiza magari 238 walipewa msamaha wa kodi wa 3.5bn lakini magari yalisajiliwa kwa majina tofauti na waliopewa msamaha.

Je hawa watu ni kina nani? Na kwanini walipewa msamaha wa kodi? Je baada ya kugundua hayo magari yamesajiliwa kwa majina tofauti, TRA wamechukua hatua gani?

Wafadhili a bashite
 
Sasa, si imeshaonekana watu wawili na kisha magari yakasajiliwa kwa majina tofauti na hao wawili waliopewa msamaha.

Basi, Mr. Kichere , kamisha mkuu wa TRA huo ndiyo uwe mtihani na kiunzi chake cha kwanza kukiruka, kwa kurudisha kodi hiyo iliyopotea.

Zaidi , tunaomba wote waliohusika na kuruhusi hicho kutokea wachukuliwe hatua kali kwa kuhujumu uchumi kwa sababu mahakama ya mafisadi kosa ni kuanzia mamilioni, sasa hawa wametufisadi mabilioni matatu na nusu!!
 
Back
Top Bottom