Sharpshooter 007
Member
- Feb 18, 2019
- 14
- 30
- Thread starter
- #41
Hilo neno hata lisipokuwepo kwenye report sio ishu sana yeye alikua anafanya majumuisho na maoni yake kwa experience aliyofanya kazi na bunge na pia kusemea ndani au nje ya nchi sio kusengenya uhuru wa kuongea hauangalii eneo kama angekua kateleza angeomba msamaha lakini mbona anasisitiza kuendelea kulitumia.weka pembeni taaluma ya mtu na siasa ndio shida yetu watz tunashindwa hapo.Wana JF nimejaribu kufuatilia ubishi wa wakubwa hawa wawili naona wao wameamua kutuchang'anya sisi wananchi wakawaida ili wasikie ya kwetu.
Kwanza, CAG anadai neno "udhaifu" nilakawaida katika taarifa ya ukaguzi kuhusu mahesabu ya kiuhasibu. Sawa hapo mimi sijabisha.
Tatizo langu ni kwamba, kama katika mahesabu yaliyokaguliwa na CAG na kutoa ripoti yake ya juzi, hakuna neno "Bunge ni dhaifu" ina maana alivyosema kule nje ya nchi alikua anasengenya Bunge. Na kama hili neno linaloleta ubishi kwa Mheshimiwa lipo ndani ya Ripoti basi CAG atakuwa sawa kwamba kule nje ya nchi hakuwasengenya. Wale muliorusha vipande vya ripoti ya CAG nitafutieni hicho kipande mukirushe hapa JF.
Haiwezekani kwenye ripoti uwasifie lakini kule kwa wazungu uwaite Dhaifu.