CAG, ukaguzi wa fedha za kampeni lini?

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Nakumbuka wakati wa kampeni more than once, Comptroller Auditor General (CAG) alisema watafanya ukaguzi wa fedha za kampeni kwa vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi. Cha ajabu naona hiyo ishu sasa iko kimya vipi? Au ukaguzi nao umechakachuliwa?
 
Kwa mujibu wa CAG, umekamilika bali ripoti anayo Tendwa, mbane Tendwa ndiye mwenye kufahamu kilichobainika katika ukaguzi wa fedha hizo
Nakumbuka wakati wa kampeni more than once, Comptroller Auditor General (CAG) alisema watafanya ukaguzi wa fedha za kampeni kwa vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi. Cha ajabu naona hiyo ishu sasa iko kimya vipi??????? Au ukaguzi nao umechakachuliwa?
 
Back
Top Bottom